Je wajua makundi maarufu ya muungano wa Masimba dume Africa

Midumare Ngatuni Iwato

JF-Expert Member
Jul 13, 2016
1,653
2,038
Kama kichwa cha Habari kinavyojielekeza
Simba dume maisha yake ni ya Furaha na huzuni Kubwa sana
Wanapozaliwa simba katika kaya yao na Mama zao wanalelewa wote kwa pamoja na Dada zao
Wanapofikisha umri wamiaka mitatu mpaka minne wanafukunzwa na Baba zao au Mama zao kutokana na muda
Dada zao wanabaki na Mama zao na Baba zao
Wanapokufukunzwa ndipo maisha mapya yakwao ya tabu yanapoaza
Kwanini tabu kwakuwa wanakuwa wanatangatanga mpaka watakapofanikiwa kuja kuwa na mji wao
Haya hapa makundi maarafu zaidi kuwahai kutokea
Na yametokea Mengi Sana South Africa
Kwakuwa wanaeneo Dogo Sana kulinganisha naTanzania na kenya
Makundi kwa namba zao
1.mapogo. ndio muungano maarufu kushinda muungano mwingine wowote kutokea walikuwa sita Masimba dume
Majina yao
Makhulu, dread blocks, Rasta,pretty boy, kinky tail, Mr t, walikuwa wanapatika Sabi sand south africa
2.majingilane wao wanashika nafasi yapili kwa umaarufu na ukatili Ndio waliokuja kuwauwa Mapogo
Ila wanazidiwa na mapogo Kwa Kuwa mapogo enzi zautawala wao Huko Sabi sand walifanikiwa kutawala eneo Zima lote la sabi sand wakati wautawala wa majingilane walitawala eneo Dogo tuu la sabi sand
3.birmighan boys, wafalme Wa kaskazini Mwa sabi sand walikuwa watano
4.selatis brother nao walikuwa sehemu Ndogo tuu ya sabi sand
5.charleston male lion, walikuwa na muungano mzuri Sana kwa wakati wao walitawala
6.manghen males sons of majingilane
Walikuwa safi nao enzi za utawala wao
Walifanikiwa kuendeleza utawala na kizanzi cha wazee wao
7.notch boys wanapatikana Masai mara walikuwa watano
8.The Serengeti males walikuwa sita
Walikuwa Hawana upinzani kwakuwa eneo lakutawala nikubwa Sana
9.matimba males
10.Numbu boys
Haya ndio makundi maarufu zaidi duniani ya muungano wa Simba nayanapatikana Sana Africa yote
Asa South Africa kwakuwa eneo la uwindaji ni Dogo nalinasababisha mapigano Mara kwa Mara inapelekea Masimba dume kuungana ili Kuwa nauwezo wakujiakikishia kuishi
Baadhi ya menigine nikama
Shush male, Hilda's rock males, the musketeers, amber eyes, Avoca males,the nkhuma pride, Nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom