Hasara za kutoku-Sex kwa mda mrefu

Mr Lukwaro

JF-Expert Member
Jun 3, 2023
357
621
IMG_20230917_180554.jpg
🔞Zipo hasara za kutokufanya sex kwa mda mrefu.

TAFITI zilizofanywa na wataalam wa masuala ya afya na saikolojia ya binadamu zinaeleza endapo ukikaa muda mrefu bila kufanya tendo la ndoa madhara yake ni makubwa.

Katika tafiti hiyo ya adolescent psychology research iliyofanywa mwaka 2016 na J. Dennis Fortenberry, (MD MS) na kuichapisha katika chapisho lake la Puberty and Adolescent Sexuality inaainisha madhara hayo ni Pamoja na 👇👇👇

1. Hasira za Ovyo.
2. Mwili kutokuwa sawa ( Unconfortable).
3.Kucheka cheka.
4. Chunusi au kuwa na ngozi ngumu.
5. Mawenge mawenge.
6. Hata kudumaa kwa uwezo wa kufikiria.

🌠Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo na kukosa furaha.

Wanandoa, wapenzi ama wachumba wanaofanya tendo la ndoa mara kwa mara wanatajwa kuwa wapo kwenye mstari wa furaha Zaidi kuliko ambao hawafanyi kabisa.

🌠Msongo wa mawazo na Kusahau
Jambo jingine ni kupendelea sana kuangalia picha za uchi (picha za ngono),
Kusahausahau, kupendelea habari zinazohusu mapenzi, pia ni rahisi sana kupatwa na msongo wa mawazo ambao wengi hupelekea kujiua.
Pia watu hawa hupenda kurukia rukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu).

🌠Ukuta wa uke kuwa mwepesi na mkavu

Hii ni kwa mwanamke tissue zinazozunguka njia ya kizazi ya mwanamke zinakuwa nyembamba, nyepesi na zinakaza (tight).

Anapungukiwa majimaji ya kulainisha njia ya uzazi (uke) hivyo anaweza kutokwa damu wakati wat endo la ndoa.

🌠Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi na wakati mwingine inaweza kumsababishia matatizo wakati wa kujifungua (complicated birth).

🌠Tezi Dume

Kwa wanaume inaweza kuwa rahisi zaidi kupata tezi dume, katika tafiti iliyofanywa kwa wanaume 30,000 waliobainika kufanya tendo la ndoa na kufika kileleni mara 21 kwa mwezi, walionekana ni nadra sana kupata ugonjwa wa tezi dume kuliko ambao hawafanyi kabisa tendo la ndoa kwa muda mrefu.

🌠Kinga ya Mwili

Kufanya tendo la ndoa kwa mpangilio mzuri (regular) inafanya kinga ya mwili kuwa active tofauti na ambaye hafanyi.

Tafiti zinasema wanaofanya mapenzi mara kwa mara wanapata nafasi ya kutengeneza antibody ziitwazo immunoglobulin ambazo zina kazi kubwa kuimarisha mfumo wa kinga ya mwili.

Hizi ni baadhi tu, Japo sijamaanisha vijana muanze "kutembeza spacles"🚫

Have protective sex , Na tumia kistaarabu , Hairuhusiwi kwa wenye umri chini ya Miaka 18.
 
🔞Zipo hasara za kutokufanya sex kwa mda mrefu, Hizi hazijathibitishwa na Daktari, It is by experience from wanaojua hilo game, ambazo ni

1. Hasira za Ovyo.
2. Mwili kutokuwa sawa ( Unconfortable).
3.Kucheka cheka.
4. Mawenge mawenge.
5. Hata kudumaa kwa uwezo wa kufikiria.

Hizi ni baadhi tu, Japo sijamaanisha vijana muanze "kutembeza spacles"🚫

Have protective sex , Na tumia kistaarabu , Hairuhusiwi kwa wenye umri chini ya Miaka 18.
Hakuna ukweli hapo .
Sex Iko overrated sana.

Mbona Yesu kaishi 33 years bila sex na hakuwa na hasira za hovyo, Wala kuchekacheka na uwezo wake wa akili ulikuwa mkubwa kushinda wa MAFARISAYO wasomi.
 
🔞Zipo hasara za kutokufanya sex kwa mda mrefu, Hizi hazijathibitishwa na Daktari, It is by experience from wanaojua hilo game, ambazo ni

1. Hasira za Ovyo.
2. Mwili kutokuwa sawa ( Unconfortable).
3.Kucheka cheka.
4. Mawenge mawenge.
5. Hata kudumaa kwa uwezo wa kufikiria.

Hizi ni baadhi tu, Japo sijamaanisha vijana muanze "kutembeza spacles"🚫

Have protective sex , Na tumia kistaarabu , Hairuhusiwi kwa wenye umri chini ya Miaka 18.
Sayansi ya wapi hiyo? Mtu Mweusi tabu sana! Akina na Issac Newton walikuwa hawafanyi ngono kwa wingi kama sisi wabongo na ndo waligundua principle za vitu kibao! Wabongo wapenda ngono wanauza bandari kwa mkataba kama wa Mangungo! Hapo nani mdumavu wa akili?
 
🔞Zipo hasara za kutokufanya sex kwa mda mrefu, Hizi hazijathibitishwa na Daktari, It is by experience from wanaojua hilo game, ambazo ni

1. Hasira za Ovyo.
2. Mwili kutokuwa sawa ( Unconfortable).
3.Kucheka cheka.
4. Mawenge mawenge.
5. Hata kudumaa kwa uwezo wa kufikiria.

Hizi ni baadhi tu, Japo sijamaanisha vijana muanze "kutembeza spacles"🚫

Have protective sex , Na tumia kistaarabu , Hairuhusiwi kwa wenye umri chini ya Miaka 18.
Story za vijiweni hizi ambako ndiyo studio za redio mbao zilipo, antena juu ya minazi.
 
Hivi unayajua yaliyo nyuma ya pazia ?

Sisemi Punyeto, Yani binadamu wakawaida , Usimwage popote halafu uwe sawa?
Kama zitajaa hata usipogiga punyeto zitatoka kwa ndoto kama umefanya mapenzi tu! Mungu ni fundi lakini madhara uliyoyasema ni mambo ya kusadikika!
Punyeto ni mazoea ya kisaikolojia tu lakini mtu yanaweza kuishi bila kufanya mapenzi na mbegu zikatoka kwa njia ya ndoto nyevu!
 
Back
Top Bottom