Je wajua kwamba...

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Inajulikana kwamba paka hata ukimrusha vp,kamwe hataangukia mgongo.Lakini ukimchukua paka huyo huyo,ukampaka asali vidoleni,mwache aionje kidogo halafu mrushe juu uone.Paka akiwa na asali vidoleni ni lazima atatua kwa mgongo au kiubavu,hayuko tayari hata siku moja kuchafua asali vidoleni,you just go and try this at home.
 
sio kwa ajili ya utamu wa asali bali hudhani alichokikanyaga kitamchafua zaidi kama akikikanyagia...
 
Inajulikana kwamba paka hata ukimrusha vp,kamwe hataangukia mgongo.Lakini ukimchukua paka huyo huyo,ukampaka asali vidoleni,mwache aionje kidogo halafu mrushe juu uone.Paka akiwa na asali vidoleni ni lazima atatua kwa mgongo au kiubavu,hayuko tayari hata siku moja kuchafua asali vidoleni,you just go and try this at home.
<br />
<br />
sipendi ma paka we ungejua bora ungenambia mapema nisifungue thread yako, nyaauuuu.!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom