digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,910
- 14,409
Ahsante, wajulishe na wenzako mkuuWazazi tumejifunza kitu
Mkuu pinga kwa hoja, usiwe kama Bavicha, hebu mtafute jongoo kama Hugo kwenye picha dheni mchezee harafu mgusishe kwenye ngoZi yako ili urete mrejesho mzuri hapaAcha kuzingua jongoo hana SUMU......
Hebu soma habari, Mimi nimeongelea tandu au jongoo?Huyo mwenye sumu anaitwa TANDU.
Hebu Google tens mkuuuTandu anayo sumu na alichokisema kuhusu jongoo kipo ni kuhusu kujihami kwake unaweza kuwashwa nk lakini siyo SUMU,
SOURCE mbili tatu nilizopitia haraka haraka wamesema ni HARMLESS kwa binaadamu.
MACHO HANA NA BADO KUMSINGIZIA HAMUOGOPI WABONGO BANAAA.
Dogo tulia nimeandika essay ya jongoo A-Level na namjua ndani alivyo kinoma noma ndio maana nlivyoona mada yako nikaona labda inawezekana nimeshapitia sehemu mbili tatu fasta nikaona WASIWASI WANGU juu ya uongo wako was right.Mkuu pinga kwa hoja, usiwe kama Bavicha, hebu mtafute jongoo kama Hugo kwenye picha dheni mchezee harafu mgusishe kwenye ngoZi yako ili urete mrejesho mzuri hapa
Hukuwa na haja ya kusema bavicha wala nini. Nawewe ungejibu kwa hoja. Wakati mwingine tunakua na hoja za msingi ila tunaonekana wapuuzi kwa kuingiza siasa kila konaMkuu pinga kwa hoja, usiwe kama Bavicha, hebu mtafute jongoo kama Hugo kwenye picha dheni mchezee harafu mgusishe kwenye ngoZi yako ili urete mrejesho mzuri hapa
Kakaa kama rangi ya cyanideJongoo wamegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni wenye sumu na wasiokuwa na sumu,
Lakini kwa asilimia kubwa sana jongoo ana sumu tena mbaya sana inayojulikana kama Hydrogen Cyanide Gas ambayo iko kama kimiminika fulani hivi, na mara nyingi hukitoa kwaajili ya kujilinda na adui wake pale anapoguswa utaona anajikunja na kumwaga maji haya (unaweza ukadhani anakunya) lakini ndio self defence yake huyu mdudu. Sumu hii ina madhara makubwa sana kwa mwanadamu pale anapoigusa kama vile maumivu ya mbaaaaali au makali sana au hata kuwashwa na pia kubabua ngozi kama MTU aliyeunguzwa maji moto
Lakini sumu hii huwa hatari sana ikiwa itaingia tumboni mwa binadamu kwani inaweza kuua kwa muda mchache sana
Jongoo huwa hatari zaidi kwa watoto wanaotambaa kwani kwani wao huwachezea pasina kujua, hivyo wazazi tuwe makini katika kipindi hiki cha mvua kwani jongoo huongezeka sana.
Mara nyingi jongoo wa aina hii ndo hatari sana, hawapaswi kubughudhiwa hata kidogo>>>>>>
>>>> <<<<<<<
Asanteni na Mungu awabariki sana
Hahaha, ati bavichaMkuu pinga kwa hoja, usiwe kama Bavicha, hebu mtafute jongoo kama Hugo kwenye picha dheni mchezee harafu mgusishe kwenye ngoZi yako ili urete mrejesho mzuri hapa
OK sawa, wewe unaongelea A level, Mimi naongelea taaluma hapaDogo tulia nimeandika essay ya jongoo A-Level wewe na namjua ndani alivyo kinoma noma ndio maana nlivyoona mada yako nikaona labda inawezekana nimeshapitia sehemu mbili tatu fasta nikaona WASIWASI WANGU juu ya uongo wako was right.
Jongoo Pombe Makinikia ndiyo wa hatari sana, huyu anapatikana kolomije tuJongoo wamegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni wenye sumu na wasiokuwa na sumu,
Lakini kwa asilimia kubwa sana jongoo ana sumu tena mbaya sana inayojulikana kama Hydrogen Cyanide Gas ambayo iko kama kimiminika fulani hivi, na mara nyingi hukitoa kwaajili ya kujilinda na adui wake pale anapoguswa utaona anajikunja na kumwaga maji haya (unaweza ukadhani anakunya) lakini ndio self defence yake huyu mdudu. Sumu hii ina madhara makubwa sana kwa mwanadamu pale anapoigusa kama vile maumivu ya mbaaaaali au makali sana au hata kuwashwa na pia kubabua ngozi kama MTU aliyeunguzwa maji moto
Lakini sumu hii huwa hatari sana ikiwa itaingia tumboni mwa binadamu kwani inaweza kuua kwa muda mchache sana
Jongoo huwa hatari zaidi kwa watoto wanaotambaa kwani kwani wao huwachezea pasina kujua, hivyo wazazi tuwe makini katika kipindi hiki cha mvua kwani jongoo huongezeka sana.
Mara nyingi jongoo wa aina hii ndo hatari sana, hawapaswi kubughudhiwa hata kidogo>>>>>>
>>>> <<<<<<<
Asanteni na Mungu awabariki sana
Samahani kwa kukukwaza Mkuu, jf so mahala pa kukwazanaHukuwa na haja ya kusema bavicha wala nini. Nawewe ungejibu kwa hoja. Wakati mwingine tunakua na hoja za msingi ila tunaonekana wapuuzi kwa kuingiza siasa kila kona
Google haina majibu wala maelezo mi huwa naingia kwenye website husika moja kwa moja.Hebu Google tens mkuuu
Hapo amesema hawaumi, Mimi nimeongerea maji watoayo kujihami