Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Ndio ni kweli google search engine inaweza kufanya barrel roll endapo utaiamrisha ifanye hivyo. Kama huamini nenda kwenye google search engine halafu kwenye kibox cha kusearch andika "do a barrel roll" bila hizo quotes halafu uje kuniambia umeona nini.