SILLENT KILLER 2
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 417
- 713
Mimi sillent killer 2 ni mwana JF pekee ninae tumia simu kitochi kuperuzi jamiiforum.hata wakati jf ilipofungiwa nilikuwa naperuzi bila shida yoyote lakn kuna jamaa angu mmoja mpaka atumie vpn ndo aperuzi..Tema aina ya simu ni tecno masai kama mnazifahamu TECNO 502 ...?