Je,wajua kuhusu mimi?

Je,wajua kuhusu mimi?

Operamini ina built-in VPN, hata kwenye smartphone ukitumia opera mini kuingia jf ina bypass fresh tu
 
nimefurai sana kuuona uzi huu mimi mwenye natumia simu aina ya tecno 528 hi simu ina browser ya operamin inawezesha kufungua jamiiforums,wikipedia google ni inayokaa nachaji sana alafu kubwa zaid ukiweka mb hata 100 zinaweza kukaa hata mwezi na zikabak. kwasababu haina uwezo wa kucheza video online ila ina unaweza kudownload nyimbo kupitia mdundo,yngamedia na kadhalika ni simu nzuri kwakweli ina saut nzuri
Ila dole gumba lazima lipinde
 
Mimi huwa naunga kisichoisha muda haltel mb 200 tu nakaa hata miezi 2 bila kuisha...?
 
Duuh kwaiyo nyie WhatsApp hampogo mimi bila smartphone naumwa kwanza sijawahi kaa mbali na simu yangu labda nikienda chooni tu
 
nimefurai sana kuuona uzi huu mimi mwenye natumia simu aina ya tecno 528 hi simu ina browser ya operamin inawezesha kufungua jamiiforums,wikipedia google ni inayokaa nachaji sana alafu kubwa zaid ukiweka mb hata 100 zinaweza kukaa hata mwezi na zikabak. kwasababu haina uwezo wa kucheza video online ila ina unaweza kudownload nyimbo kupitia mdundo,yngamedia na kadhalika ni simu nzuri kwakweli ina saut nzuri
Wewe na mtoa mada ni Mapacha! Namaanisha Kulwa Biteko na Dotto Biteko?
 
Attachments

  • Screenshot_20260115-160344.jpg
    Screenshot_20260115-160344.jpg
    20.6 KB · Views: 5
nimefurai sana kuuona uzi huu mimi mwenye natumia simu aina ya tecno 528 hi simu ina browser ya operamin inawezesha kufungua jamiiforums,wikipedia google ni inayokaa nachaji sana alafu kubwa zaid ukiweka mb hata 100 zinaweza kukaa hata mwezi na zikabak. kwasababu haina uwezo wa kucheza video online ila ina unaweza kudownload nyimbo kupitia mdundo,yngamedia na kadhalika ni simu nzuri kwakweli ina saut nzuri
Chuga inaitwa Tecno massai
 
Back
Top Bottom