Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 379

Duck-billed platpus ni miongoni mwa wanyama katika kundi la ufalme wa wanyama (Animal kingdom) anaetaga mayai( egg-laying mammal) na baadae kunyonyesha vichanga vyake( Nursing it's young)
Mnyama huyu anapatikana mashariki mwa Australia
Anataga yai moja au mawili na yanatotolewa baada ya siku 10
Ananyonyesha watoto wake kwa miezi 3
Makazi yake ni nchi kavu na majini( semi-aquatic)
Mnyama huyu chakula chake kikuu ni nyama (Carnivorous) na apata chakula chake kwenye maji
Duck-billed platpus ni Nocturnal mammal it means active during the night ( shughuli zake nyingi hasa kutafuta chakula anafanya usiku) na anatumia muda wa mchana kulala/kupumzika katika mashimo/mfereji anaochimba pembezoni mwa mto,kwenye udongo n.k
Katika kundi la wanyama hawa wapi katika sub-class Prototheria
Order- Monotremata
And sometimes they known as Monotremes
Katika kundi hili la Monotremes wapo wanyama wawili wanaotaga ambao ni
1.Duck- billed platpus
2.Echidna or Spiny anteater