KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,902
- 9,323
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nikwamba kama unatumia smartphone basi utakuwa na Watsapp application katika hiyo simu yako, basi na katika hiyo whatsapp ytako kuna akili mnemba (AI) iliyotengenezwa na Chat GPT ili iwe rahisi kwako kuuliza vitu na kujibiwa! Je unaipataje ni Rahisi sana Chukua hii No+1 (800) 242-8478 i save katika phone book yako kama Chat GPT,baada ya hapo nenda whatsapp itafute kama Chat GPT utaikuta uliza chochote kwa lugha yoyote na utajibiwa Asante!