Je wajua hili kuhusu shirika la umeme/tanesco

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Pamoja na shirika hili kupandisha gharama za umeme bado ndilo shirika pekee hapa Tzania lenye uwezo wa kutoa umeme wa viwanda/hospital/shulen na majumban mwetu.

Ninachota kujua kutoka kwenu ni kwamba niliomba kufungiwa umeme nyumbani kwangu mwaka 2011 mwezi wa 9 na kufuata taratibu zote za malipo pamoja mchoro wa nyumba survive alipokwenda kupima vipimo vikaonyesha ni nguzo 2.

Na hela niliyokuwa nayo ni ya nguzo 1 basi utaratibu ukaishia hapo huku nimeshalipa hela ya fomu na hela ya survaive sasa leo hii nimejenga nyumba ambayo itakuwa karibu na nguzo yaani karibu na barabarani.

Je tanesco watakubali nitumie ile fomu iliyoshindakana mwanzo?

NAWASILISHA
 
Pamoja na shirika hili kupandisha gharama za umeme bado ndilo shirika pekee hapa Tzania lenye uwezo wa kutoa umeme wa viwanda/hospital/shulen na majumban mwetu. Ninachota kujua kutoka kwenu ni kwamba niliomba kufungiwa umeme nyumbani kwangu mwaka 2011 mwezi wa 9 na kufuata taratibu zote za malipo pamoja mchoro wa nyumba survive alipokwenda kupima vipimo vikaonyesha ni nguzo 2. Na hela niliyokuwa nayo ni ya nguzo 1 basi utaratibu ukaishia hapo huku nimeshalipa hela ya fomu na hela ya survaive sasa leo hii nimejenga nyumba ambayo itakuwa karibu na nguzo yaani karibu na barabarani. Je tanesco watakubali nitumie ile fomu iliyoshindakana mwanzo? NAWASILISHA[/QU
 
The Richards
Unaposema Ni Kulionea Shirika Una Maana Gani ? Sijakuelewa.
 
Back
Top Bottom