Je, wajua haya yaendeleayo Korea kaskazini?

Je, wajua haya yaendeleayo Korea kaskazini?

Kama nilivyoeleza awali, siku zangu ndani ya Korea ya kaskazini hazikuwa nyingi ni sita tu ila ndani ya kipindi hicho kifupi nimejionea mengi,

1. Wajua kuna watu wana miaka mpaka 30 hawajuji YouTube wala internet? Wapo wapo tu? Maana zinakatazwa,

2. Wajua ukigundualika unataka kwenda nje ya Korea kaskazini unapigwa risasi?

3. Asilimia 80 ya watu walioama north Korea wametoroka kupitia, bahari wakati wa usiku, pia milima ya mashariki kuingia nchi jirani,

4. Korea kaskazini imezungushiwa na ukuta wa umeme kwa maeneo karibu ya mpaka yote kuzuia wakorea kutoroka nchi yao,

5. Kumiliki smartphone Korea kaskazini ni kosa kubwa mno, unafanya uamasishaji wa vurugu kupitia mtandao, asilimia kubwa ya simu zinazoruhusiwa ni zile Siemens za zamani(mayai) Motorola ndogo na Philips,

6. Je wajua kwamba kwenda Korea kaskazini mpaka upite hapa urusi, au upite China kuna airlines moja tu ni KORYO

7. Kwa mwezi wanakufa takribani wakorea 100 kwa kunyongwa au kipigwa risasi hadharani,

8. Hauruhusiwi mkusanyiko wa watu wanaozidi kumi, usio rasmi, labda Ile shule au kanisa,

9. Wakorea wanaishi maisha mabaya mno ya kuomba omba na ni maskini wakati familia chache tu ndo ziko vizuri,

10. Bank account yako ikizidi kiwango ambacho Serikali imesema mtu anapaswa kuwa nacho,hela nyingine zinapelekwa Serikalini

Maajabu ni mengi kule

Ni. hatari kwa afya.
 
Smartphones in North Korea: 6,000mAh batteries and app stores that are actual stores
Phurun-Hanul-3-840x418.jpg
 
Fedheha kwa mwalimu wangu the great ever eternity president of the republic Kim il sun utawala wa mazonge hauwezi kuitawala dunia
 
namba 9 haiitaji ufaham mkubwa kujua ni uongo sasa wanaomba wap kama ni wanaishi kwa kuomba
 
Nina bro kaenda huko last week ni brother kwa urafiki tu
nilisoma nae alinizid madarasa, huko kaenda kazi nje nje kabisa na dada yake yupo huko anafanya kazi mda sana
range ya mshahara in usd 2500 - 4000 inategemea na kampuni na elimu binafsi
nimeshindwa fedha kwa upande wangu ila ajira nje nje huko sasa sijajua hizo fac umezitoa wapi
 
Back
Top Bottom