Je, wajua haya yaendeleayo Korea kaskazini?

Je, wajua haya yaendeleayo Korea kaskazini?

ACHENI PROPAGANDA ZA NORTH KOREA, UWONGO, HAKUNA KITU KAMA ICHO, NANI ASIEWAJUA MUNAONGOZA KWA PROPAGANDA
 
Pamoja na kwamba siwezi kuthibitisha kwa 100% yaliyosemwa lkn kwa asilimia kubwa yana-reflect uhalisia wa hali ilivyo huko.

North Korea is a very secluded country and the activities of its citizens are closely monitored by the dreaded intelligence agencies and the secret police.
 
Kama nilivyoeleza awali, siku zangu ndani ya Korea ya kaskazini hazikuwa nyingi ni sita tu ila ndani ya kipindi hicho kifupi nimejionea mengi,

1. Wajua kuna watu wana miaka mpaka 30 hawajuji YouTube wala internet? Wapo wapo tu? Maana zinakatazwa,

2. Wajua ukigundualika unataka kwenda nje ya Korea kaskazini unapigwa risasi?

3. Asilimia 80 ya watu walioama north Korea wametoroka kupitia, bahari wakati wa usiku, pia milima ya mashariki kuingia nchi jirani,

4. Korea kaskazini imezungushiwa na ukuta wa umeme kwa maeneo karibu ya mpaka yote kuzuia wakorea kutoroka nchi yao,

5. Kumiliki smartphone Korea kaskazini ni kosa kubwa mno, unafanya uamasishaji wa vurugu kupitia mtandao, asilimia kubwa ya simu zinazoruhusiwa ni zile Siemens za zamani(mayai) Motorola ndogo na Philips,

6. Je wajua kwamba kwenda Korea kaskazini mpaka upite hapa urusi, au upite China kuna airlines moja tu ni KORYO

7. Kwa mwezi wanakufa takribani wakorea 100 kwa kunyongwa au kipigwa risasi hadharani,

8. Hauruhusiwi mkusanyiko wa watu wanaozidi kumi, usio rasmi, labda Ile shule au kanisa,

9. Wakorea wanaishi maisha mabaya mno ya kuomba omba na ni maskini wakati familia chache tu ndo ziko vizuri,

10. Bank account yako ikizidi kiwango ambacho Serikali imesema mtu anapaswa kuwa nacho,hela nyingine zinapelekwa Serikalini

Maajabu ni mengi kule

Ni uongo uliopitiliza mipaka....Sijui kwa kazi hii ya propaganda wenyewe wale wanakulipa kiasi gani??
 
Hizi article imejaa uongo mwingi kuliko ukweli, mtoa mada north korea wana smartphone zao na wanaoperate system zao za simu na kompyuta
Hii ni video toka north korea ikionyesha smartphone iliyitengenezwa humo nchini korea


Achana naye huyo, hajui kitu....
 
Pamoja na kwamba siwezi kuthibitisha kwa 100% yaliyosemwa lkn kwa asilimia kubwa yana-reflect uhalisia wa hali ilivyo huko.

North Korea is a very secluded country and the activities of its citizens are closely monitored by the dreaded intelligence agencies and the secret police.
Ni kweli wananibishia nini sasa?
 
Back
Top Bottom