JE WAJUA CHANGAMOTO NI MTAJI?#YaiTV

JE WAJUA CHANGAMOTO NI MTAJI?#YaiTV

kingMsuya

Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
10
Reaction score
2
Wanadamu tungeacha kulaumu, kulalamika na kuamua kumtegemea Mungu asilimia mia na kujuwa changamoto tulizo nzo ni mitaji hakika tuyaonayo leo juu ya Technolojia ingekuwa zaidi ya hapa tuonavyoona Tekinolojia ubunifu wa mambo mbalimbali huanzia kwenye Changamoto na anayeamuwa kutafuta suluhisho ndio hujipatia maendeleo endelevu zingalie Changamoto kama Mtaji na si Majaribu au shida.



 
Back
Top Bottom