Hizbu Sharifu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2021
- 465
- 943
JE WAIJUA NGUVU YA MVUA
♦️Unajua mvua ni BARAKA ?
♦️Mvua haishukii ardhi pekee bali inashuka na kwenye nafsi pia
♦️Mvua husafisha husda
♦️Unajua kua mvua inaweza kusikia?
♦️Unajua mvua hubeba dua zako? Omba kwa sanna ukiwa ndani ya mvua
♦️Mvua husafisha huzuni zako.
♦️Mvua huosha kile ambacho hakionekani kwa macho.
SIKIA Inaponyesha mvua kaa ikunyeshee hata kwa dakika mbili usiikinbie, MVUA ni dawa kubwa sana ya mambo mengi