Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 35,496
- 101,975
Point ni zile zile, sema hakuna kitu kilichonikera kama hao wangoni kuondoka south kuja huku🤦🏽♀️Sababu:
1.Land alienation
2.ngoni migration
3.poor infrastructure
4.cattle raiding
Point ni zile zile, sema hakuna kitu kilichonikera kama hao wangoni kuondoka south kuja huku🤦🏽♀️Sababu:
1.Land alienation
2.ngoni migration
3.poor infrastructure
4.cattle raiding
Kumbe! Mambo ni mengi aisee clinical officer sio kwamba ilikuwa ni maafisa tu🫢Hapana mkuu, zamani ilikua clinical officer, alipo ingia ummy mwalimu nadhani wakabadili ikawa c medicine
Ndio ilikua hivyo yani daktari wa binadamu ngazi ya diplomaKumbe! Mambo ni mengi aisee clinical officer sio kwamba ilikuwa ni maafisa tu🫢
Point ni zile zile, sema hakuna kitu kilichonikera kama hao wangoni kuondoka south kuja huku🤦🏽♀️
NopeUna asili ya huko?
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani wewe unatafuta ushauri ila unatamani kusikia positivity tuu bila madhara, hakuna cha rafiki wala nini hapo naona ni kama umeanza kuleft group unatafuta changes za haraka
[emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna mtu hapo kwisha kabisa kiliniko medicine ndiyo usijue uzuri na madhara ya hydroquinone kwa afya ya ngozi ya binadamu
Khaaah classmate, [emoji23][emoji23][emoji23]Sijui kwanini wanawake wengi wanajichukia jinsi walivyo, yaani wanaharibu uasili wao kwasababu za kipuuzi kabisa.
Anyways....
Kuna dada mmoja alikua anatumia vitu vya kufanya ngozi yake ikawa sio black tena, siku nilipo kutana nae, ukweli alikua anatoa harufu ya jasho kama ananuka kutu.
Basi mshauri kuwa apende rangi alioumbwa nayo, ajikubali. Asipende vitu alivokuwa hajajaaliwa navyo. Mwambie asifosi atapata madharaNdo ana penda yeye
Duuuh maelezo yameenyooka [emoji122][emoji122]Nimecheka hizi reply [emoji1787]
Hivi vidonge viko aina mbili na ili upate matokeo ni lazima utumie sio chini ya miezi miwili
Unakunywa vidonge viwili kila siku,
Side effects zake za papo kwa papo ni kupata kiu saana,so unahitaji kunywa maji mengi sana unapotumia
Side effects za mda mrefu sijajua ila kwa knowledge ya kawaida tu in the long run lazima figo ichoke tu!
Haya atakaehitaji jumla na reja reja zinapatikana!
Mtoa mada ndiye anataka kujichubua wala msihangqike kuwaza.Basi mshauri kuwa apende rangi alioumbwa nayo, ajikubali. Asipende vitu alivokuwa hajajaaliwa navyo. Mwambie asifosi atapata madhara
Lengo la mleta madaMtoa mada ndiye anataka kujichubua wala msihangqike kuwaza.
Hamuoni anavyopinga negative effects za hayo madawa? Kama nagekuwa amekuja kuuliza kwa niaba, angebeba ushauri na kumpelekea muhusika. Lakini sasa, anapinga kwa nguvu zote kana kwamba sisi ndio tumemuomba ushauri