Mleta mada anajiita Clinical medicine. Kwa wenzetu aliosoma soma clinical medicine ni taaluma ipi?Ndio nini hiyo mkuu?
Mleta mada anajiita Clinical medicine. Kwa wenzetu aliosoma soma clinical medicine ni taaluma ipi?Ndio nini hiyo mkuu?
Ndio nimeshare ili nijifunze zaidSasa unauza vitu na hauna ujuzi navyo kielimu?
Sio wale wanaotibu wanayama kweli🤔Mleta mada anajiita Clinical medicine. Kwa wenzetu aliosoma soma clinical medicine ni taaluma ipi?
Ndiyo ana ujuzi wa ku deal na ngozi ya binadamu?Sio wale wanaotibu wanayama kweli🤔
Great thinker hamjui clinical medicine, no naenda kulala aibu hiiSio wale wanaotibu wanayama kweli🤔
Kucream ngozi ili iwejeeee!!! Watu waache kumkosoa muumba asee
Mambo yao waachie wenyewe...Kucream ngozi ili iwejeeee!!! Watu waache kumkosoa muumba asee
Ndio nashangaa!Ndiyo ana ujuzi wa ku deal na ngozi ya binadamu?
Pole tulifikiri clinical maana yake wanyama🤦🏽♀️Great thinker hamjui clinical medicine, no naenda kulala aibu hii
Tunegoma kuwaachiaaaMambo yao waachie wenyewe...
Sababu:Tunegoma kuwaachiaaa
Hapana mkuu, zamani ilikua clinical officer, alipo ingia ummy mwalimu nadhani wakabadili ikawa c medicinePole tulifikiri clinical maana yake wanyama🤦🏽♀️
Hakuna mtu hapo kwisha kabisa kiliniko medicine ndiyo usijue uzuri na madhara ya hydroquinone kwa afya ya ngozi ya binadamuMi ni clinical medicine kaka punguza ka mdomo ume kia asha boko wewe, asha ngedere acha pigo za kike hapa hatuchambani tunapeana elimu
Sasa kama una majibu, umekuja kuuliza ya nini? Ni kama umekuja kutafuta uhalali wa kujichubua.Si kweli ishu ya kuoza huyo alikua na matatizo mengine, angesema labda kuharisha, kuumwa kichwa nk sawa ila kuoza hizo stori tu za mitaani hazina ukweli wowote
Asante mkuu,Sasa kama una majibu, umekuja kuuliza ya nini? Ni kama umekuja kutafuta uhalali wa kujichubua.
Ushauri wangu: wewe jichubue. Meza utakavyo. Utakuwa mweupe, laini na nyororo
Sio salama.Sorry haya si mafuta, ni vidonge ndo navoulizia