Je utajiri hutafutwa au hukufuata wenyewe?

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,943
Reaction score
4,820
Habari wanajukwaa

Leo nipo nimepoa hapa katika sofa baada ya kunywa chai ya shemeji yangu nikasema nisiende kubeti kwanza hebu nijaribu kutafakari ya maana,
Ndo yakanijia haya maswali, nikasema hebu nishee na Magreat thinkers wa kule Jf maana kule hata matajiri pia wapo

Utajiri je hutafutwa? Mbona haso ni nying sana kwa vijana lakini majibu ni zero!!

Je utajiri ni bahati? Hivyo tusijisumbue kuutafuta utaja tu wenyewe

Je utajiri una njia zake? Ni zipi hizo maana Kuna watu wanahisi wamemaliza njia zote lakin still score board 0-0

Je utajiri ni mchezo mchafu? Mbona Kuna watu tunawaona wapo safi kabisa na huenda tuendapo wakaenda tena kula keki (najua sio wote)

Kila mtu anapenda awe tajiri, haso zetu from morning hadi tunaenda kulala watu wanazisaka

Haya matajiri wa Jf mutuelezee hapa nikirudi kwa muhindi nitaja ku take notes

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
hutafutwa
cc walter walker
 
Ukiweza kubuni njia ya ku pro long orgasm ya binadamu, during sex.
👉Angalau kutoka sekude20, Hadi dk 3-5.

Basi hata Elon musk ata kuwa si chochote kwako.
FB_IMG_17069451708294968.jpg
 
F
Ukiweza kubuni njia ya ku pro long orgasm ya binadamu, during sex.
👉Angalau kutoka sekude20, Hadi dk 3-5.

Basi hata Elon musk ata kuwa si chochote kwako.
View attachment 2892707
MI nahic mtu anaweza kufariki
Sababu pale viungo vingine havifanyi kazi hasa akili

Na wadada wengi ukitoa pesa kuchangia
Mshindo ni hurubuniwa mtu kukosea njia sababu akili haioperate
 
Utajiri tunautafuta lakini kuupata inategemea na bahati!! Kuna mtu akigusa tu imooo...!! Ila wenzangu na mie hangaika biringita hamna kitu!! Kazi ni ile ile jitihada zile zile lakini mwenzio anatoboa huku unamuona!!

Hii bahati nilikuja kugundua inaweza kuwa za aina mbili!!

1. Bahati kutoka kwa Mungu
Hii kwa sisi tuliozaliwa familia masikini huwa inachelewa na ikija ni ya kudumu kizazi hadi kizazi so watoto na vizazi vijavyo inakuwa ni mteremko kwao kutusua!!

Hii bana mara nyingi huharibiwa na jamii zinazotuzunguka!! Unagngwa usilogwe kumbwe ndiyo umefungwa kila kitu, utahangaika mpaka maji uite mma na hata bodaboda hupati!!

2. Bahati kutoka upande mwingine wa ulimwengu (ulozi/ushetani). Hii ni simple na wengi wanapitia humu na hawasemi! Tunakwenda kuloga mabosi wanakuwa mazezeta sie tunajilimbikizia mali!! Kuita wateja kwa uganga au namna yoyote ile kutegemea na shughuli unayoifanya!!

So!! Utajiri tunautafuta; kikubwa ni bahati tu!!
 
Habari wanajukwaa

Leo nipo nimepoa hapa katika sofa baada ya kunywa chai ya shemeji yangu nikasema nisiende kubeti kwanza hebu nijaribu kutafakari ya maana,
Ndo yakanijia haya maswali, nikasema hebu nishee na Magreat thinkers wa kule Jf maana kule hata matajiri pia wapo

Utajiri je hutafutwa? Mbona haso ni nying sana kwa vijana lakini majibu ni zero!!

Je utajiri ni bahati? Hivyo tusijisumbue kuutafuta utaja tu wenyewe

Je utajiri una njia zake? Ni zipi hizo maana Kuna watu wanahisi wamemaliza njia zote lakin still score board 0-0

Je utajiri ni mchezo mchafu? Mbona Kuna watu tunawaona wapo safi kabisa na huenda tuendapo wakaenda tena kula keki (najua sio wote)

Kila mtu anapenda awe tajiri, haso zetu from morning hadi tunaenda kulala watu wanazisaka

Haya matajiri wa Jf mutuelezee hapa nikirudi kwa muhindi nitaja ku take notes

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
walkerwater unaitwa huku
 
Ukiweza kubuni njia ya ku pro long orgasm ya binadamu, during sex.
👉Angalau kutoka sekude20, Hadi dk 3-5.

Basi hata Elon musk ata kuwa si chochote kwako.
View attachment 2892707
kweli kabisa. ukikuta katoto hakajatumika, dakika mbili nyingi kamemaliza
kutana na nungayembe sasa unaligonga hadi unachubuka limetulia tu
 
Utajiri= Abundance of money
Pesa ni roho, roho inafanya movement. Hivyo utajiri unafuatwa ulipo au unakufuata ulipo. Hautafutwi kwa kufanya bidii kazi, hautafutwi kwa kusoma sana, Prof. wa UDSM anazidiwa pesa na kijana kutoka makete wa std 4 .
Utajiri haupatikani kwa nidhamu ya pesa.
Ni either uufuate au ukufuate.
Ila unafuu wa maisha unapatikana kwa kusoma, kufanya kazi kwa bidii, nidhamu ya pesa
 
Utajir ni chanel. Once ukikaa nje ya iyo chanel huta kaa ukutane na pesa ya maana utaishia kuamka sa kumi usiku na kulala sa sita usiku ukiwa hoi na kuingiza 10000 kwa siku.. iko hiv uez kua tajir bila mtu mwenye utajir kukushika mkono na kukwambia pesa iko huku au inapatkana hiv.. wako watu hawakua na mtaji hata wa shilng na sio waaminifu lakin matajir wakawatumia wao kwa kuwekeza mali zao kwa watu hao na kujulkana mali hiz n za flan lakn kumbe nyuma ya pazia mmilk yupo yeye anakula percent tu ndio apo utajua utajir au mali bila kushikwa mkono hutakaa uupate.., wapo mafund ujenz wanajenga nyumba kali sana kwanzia msngi mpka skiming ya mwsho na kwa matajir tofaut tofaut lakn wao mafund mpka leo wamepanga tena vyumba vya giza visivyo hata na umeme unataka kusema hataki kujenga nyumba zao au hawajui kutunza pesa?? MSALIMIE SHEMEJ AKIRUD KAZINI
 
Back
Top Bottom