Je utajiri hutafutwa au hukufuata wenyewe?

Je utajiri hutafutwa au hukufuata wenyewe?

Kitu chochote ambacho huwezi kukocontrol hiwezi kukitengeneza,
Huwezi amua uzaliwe na akili kiasi gani, huwezi amua uzaliwe familia gani,

So huwezi tengeneza bahati bali unweza kuitumia
Unaweza wekwa kwenye laini ya bahati
 
utajiri hautafutwi,unategwa.

hizi akili za kuutega ndio kipengere,hapo ndipo zinapohusika kauli kama bahati nk.

matajiri wote waliotea gape wakaziba.
 
Utajiri unatafutwa kwa njia nyingi tu.
1. Ushirikina unachukua nyota za watu kwa kuua ,kumwita na kumchukulia mtu kitu chake.
 
Tunaonekana tunapambana ila tuna matumizi ya siri mengi sana.
 
Asilimia kubwa katika maisha ni “bahati” naweza sema 80% , 20 ndo juhudi zako.
1. Bahati ya uwezo wa akili ulopewa
2. Familia unayozaliwa
3. Watu unaokutana nao
N. K
Now day mafanikio hayafuati watu wanaojituma au kupambana watu wanatumia nguvu sana kupambana baada ya kutumia maarifa na akili

Watu waliofanikiwa huwa hawafanyi kazi masaa mengi wala kujituma sababu ukifanya kazi masaa mengi unapunguza uwezo wa kufikiria na kazi unayofanya utaishia kupata matokeo madogo

Mafanikio sio bahati kila kazi au biashara inakutaka uwe na elimu kwanza watu wengi wanakimbilia kupata pesa ndio sababu ya wengi kushindwa ukiwa na elimu ni rahisi kuzijua njia za mafanikio zipo chache


Habari wanajukwaa

Leo nipo nimepoa hapa katika sofa baada ya kunywa chai ya shemeji yangu nikasema nisiende kubeti kwanza hebu nijaribu kutafakari ya maana,
Ndo yakanijia haya maswali, nikasema hebu nishee na Magreat thinkers wa kule Jf maana kule hata matajiri pia wapo

Utajiri je hutafutwa? Mbona haso ni nying sana kwa vijana lakini majibu ni zero!!

Je utajiri ni bahati? Hivyo tusijisumbue kuutafuta utaja tu wenyewe

Je utajiri una njia zake? Ni zipi hizo maana Kuna watu wanahisi wamemaliza njia zote lakin still score board 0-0

Je utajiri ni mchezo mchafu? Mbona Kuna watu tunawaona wapo safi kabisa na huenda tuendapo wakaenda tena kula keki (najua sio wote)

Kila mtu anapenda awe tajiri, haso zetu from morning hadi tunaenda kulala watu wanazisaka

Haya matajiri wa Jf mutuelezee hapa nikirudi kwa muhindi nitaja ku take notes


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Matajir hapa, humkuti kuchangia. Anajiongelesha moyoni "Hawa wapuuzi sana"
 
Yes mkuu Ila sijatofautiana Sana na wachangiaji wengine .

Ila Mimi nimezungumzia utajiri au mafanikio yenye mwendelezo au consistence kuwa MTU ili aendelee Kuwa na mafanikio kwa muda mrefu basi anabidi kuwa na spiritual power (,Nguvu za kiroho)

Nguvu za kiroho tumetofautiana MTU na MTU maana ili kuwa na nguvu hizi uhitaji kuzingatia Usafi Wa mwili ,roho na matendo. Na kuwa positive mindset.


nikitazama MAISHA ya ndugu zangu ambao wanazingatia kufanya kazi na kuwa na spiritual power kiukweli wamefanikiwa Sana wao na familia zao.


Hivyo spiritual power ni nguvu za kiroho hizi hutoa matokeo kwa haraka kwa kile unachokiendea.
Umenena vyema na kweli.Sisi ni mawakili wa Mali na vyote hapa Duniani, Muhimu kwanza kabisa Tafuta connection na Mungu wako,hapo utapata Utajiri wakudumu wewe na vizazi vyako.

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
 
Utajiri= Abundance of money
Pesa ni roho, roho inafanya movement. Hivyo utajiri unafuatwa ulipo au unakufuata ulipo. Hautafutwi kwa kufanya bidii kazi, hautafutwi kwa kusoma sana, Prof. wa UDSM anazidiwa pesa na kijana kutoka makete wa std 4 .
Utajiri haupatikani kwa nidhamu ya pesa.
Ni either uufuate au ukufuate.
Ila unafuu wa maisha unapatikana kwa kusoma, kufanya kazi kwa bidii, nidhamu ya pesa
Wewe kweli unaakili!!

Uzi ufungiwe hapa!!

Kweli unakufuata,juhudi huleta Hela ya kula tu!!
 
Utajiri ni utajiri tu namna unavyopatikana ni utajiri pia , habari za utajiri zimekaa kitajiri na utajiri ni utajiri ,hakuna namna utaweza kuufafanua we elewa ni utajiri tu.
 
"Ili kuheshimiwa ni lazima kwanza ujiheshimu, lakini kufanikiwa ni maujanja tu sio lazima elimu"

FID Q-MAFANIKIO.
 
Back
Top Bottom