Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,331
- 144,789
kaka mimi niko Mwanza huku, unadhan inawezekana kwel kuagza na mzgo ukanifikia nilipo?
Duh! Na unataka uagize toka nchi gani? Marekani au Kenya? (Kenya kuna Amazon?)
Hapo unataka kupoteza tu pesa zako.