Uko wapi? Huduma hii inaweza kuwa tofauti kwa watu walio sehemu tofauti.
Nime cancel "Amazon Prime" yangu wiki hii kwa sababu huduma yao ya kawaida ni nzuri tosha kiasi kwamba siihitaji tena "Amazon Prime". Lakini uzuri huu kwa mtu aliye Marekani si sawa na kwa mtu aliye Tanzania, kwa sababu tofauti ni nyingi sana.
Kwani huduma ya Amazon Prime tunalipia zaidi?
Na tulijiunga vipi?
$79 a year in the US. Kama huangalii bank statements zako vizuri unaweza kuwa unachajiwa bila kujua.
Unaweza ku sign up online on a trial, ukasahau kwamba unayo hii charge after the trial period expires. To me it's not worth it anymore.
Mhhhh interesting....
Nna Amazon Prime kisha sikumbuki katu kudaiwa
Nadhani niliungwa wakati wa promotion ........(i hope)
Kama ndio, naomba ushauri wako je ni njia nzur? Naitaj kuagiza laptop online, nin mawazo yako?
Promotion mwezi mmoja, unapewa ujaribu kama hujaipenda una cancel.
Kama huja cancel ushamaliza promotion na kuchajiwa, na kama huja opt kuondoa automatic renewal kila mwaka unapoisha ina renew automatically, kwa hiyo kama huangalii bank statement zako vizuri unaweza kufikiri umenunua vitabu kumbe ni Amazon Prime fee.
Uko wapi? Huduma hii inaweza kuwa tofauti kwa watu walio sehemu tofauti.
Nime cancel "Amazon Prime" yangu wiki hii kwa sababu huduma yao ya kawaida ni nzuri tosha kiasi kwamba siihitaji tena "Amazon Prime". Lakini uzuri huu kwa mtu aliye Marekani si sawa na kwa mtu aliye Tanzania, kwa sababu tofauti ni nyingi sana.
wakubwa mbona nasikia kuwa ebay ni nzuri zaidi kwa kuagiza vitu kuja africa na amazon inasumbua kwenye kuagiza bidhaaYap wako so fast,na mizigo iko so secured,nishanunua vitabu mzigo wote ulifika bila ubabaishaji
Weshaniibia ......kitabu kimoja tena cha hard cover tena cha non-fiction
:A S-cry:
Uko wapi? Huduma hii inaweza kuwa tofauti kwa watu walio sehemu tofauti.
Nime cancel "Amazon Prime" yangu wiki hii kwa sababu huduma yao ya kawaida ni nzuri tosha kiasi kwamba siihitaji tena "Amazon Prime". Lakini uzuri huu kwa mtu aliye Marekani si sawa na kwa mtu aliye Tanzania, kwa sababu tofauti ni nyingi sana.
Kama ndio, naomba ushauri wako je ni njia nzur? Naitaj kuagiza laptop online, nin mawazo yako?
Duh,
Mimi nilifikiri ni wanywaji wa bia tu wanaohesabu hela kwa chupa za bia, kumbe kuna watu wanahesabu hela kwa vitabu!!!
mkuu nisaidie maswali yangu haya...je wanaship kuja bongo pili hiyo amazon prime after trial inafaida gani
tatu how long inachukua vitu kufika bongo na pia mizigo mikubwa kama laptop ni approximately sh ngapi na je midogo chini ya hapo kama uzito wa tablet 2kg
Nilidhani wewe ndio utakuwa wa kwanza kujua kuwa vitabu navyo hulevya
Kwa vitu used wanauza tuu Ulaya na Amerika ambako "transport network" ni nzuri. Mimi mara ya mwishi nilihitaji vitabu used ikabidi nitumie mtu aliyeko London aniagizie na kuvituma kuja kwangu.