Je, ushawahi kunywa K-Vant baridi?

Wanavyosema drink responsibly wanamaanisha kunywa kiasi na kiuwajibikaji

Mbaya zaidi hujala hata nyama choma halafu unaifakamia vant ya baridi itaachaje kukuaibisha sasa

Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
 
Kvant inapataje baridi kwenye friji ikiwa haigandi, ndio maana huwa tunaweka barafu ila sio kvant iwe baridi,au uliiweka mwezi mzima
 
We take those kinds at a round table..
I sip..she sip..he sip..

Hapo mtakesha.
 
Back
Top Bottom