Je ushawahi kuiona na kuitumia ndoo ya "selo" ??

Je ushawahi kuiona na kuitumia ndoo ya "selo" ??

MeinKempf

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
11,092
Reaction score
7,236
Hii ndo namna ndoo ya lokapu/ selo ilivyo, amabaye hujawahi kuitumia usiombe kuswekwa rumande. Onyo: mtoto wa kishua fahamu kuwa kuna maisha ya jela pia.
 

Attachments

  • 557px-MaryRose-leather_bucket.jpg
    557px-MaryRose-leather_bucket.jpg
    41.9 KB · Views: 239
Umesahau kutupia nzi kwa juu aisee
 
Ila sijawahi kuwa rumande, nimesema tu
 
Ipeleke jukwaa husika huku sio mahala pake

Acha kutapa tapa na kutoa toa povu hapa jukwaani , kwani hii ndooo imekukumbusha wapi ? au ushawahi kuwa muhanga wake nini, kwahiyo nimekugusa kumtima?
 
Back
Top Bottom