Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 90,488
- 179,156
Imejaa tele, tafuta mtoto mzuri mpunguzianeš¤£š sina depression
Imejaa tele, tafuta mtoto mzuri mpunguzianeš¤£š sina depression
Mda mwingine unaweza Kuta marafiki wa kike wanatuma sms za ajabu ššNdio.
Wapo sana ila sitaki depressionImejaa tele, tafuta mtoto mzuri mpunguzianeš¤£
Mkuu Manyanza moyo wako ulete huku umkabidhi mshangazi , moyo wangu sikupi kumbe unapendwa na wengi eehš
Sina marafiki wa hivyoš¤£š¤£Mda mwingine unaweza Kuta marafiki wa kike wanatuma sms za ajabu šš
Wakati wewe mwenyewe š¤£š¤£Wapo sana ila sitaki depression
Kwanza huyo nishamtupia tofali kitambo sana hata anachokipost huwa sikioni akili zake ni mbovu na hajitambui.Mkuu Manyanza moyo wako ulete huku umkabidhi mshangazi , moyo wangu sikupi kumbe unapendwa na wengi eehš
Anaelezea hisia zake unamblock, unataka udanganywe eeh haya, pia moyo wako unaonekana una mambo mengi, hati chafu itakuhusu mkuušKwanza huyo nishamtupia tofali kitambo sana hata anachokipost huwa sikioni akili zake ni mbovu na hajitambui.
Ninapanga uwe Auditor wa moyo wangu ujue ššš
Njoo nianze kazi usiku huušUtanipa moyo wako pale utakapokuwa umeshaufanyia auditing moyo wangu š¤
Unataka documents gani ili uanze auditing? šššNjoo nianze kazi usiku huuš
Just a letter of engagement, ili nijue scope of work kabla sijaanza kuupekelekesha huo moyošUnataka documents gani ili uanze auditing? ššš
Raha gani sasa..Unaraha
Apology my Auditor, last night I was fast asleep. Okay anytime , nakuandikia šššJust a letter of engagement, ili nijue scope of work kabla sijaanza kuupekelekesha huo moyoš
Kivipi??Raha gani sasa..
Wakati sipo huru mwenzako
Sipo huru kufanya mambo yangu...Kivipi??
Siumwambie akusubirie ukue ndio akubaneSipo huru kufanya mambo yangu...
Mi kijana bado natamani vyakula tofauti tofauti...
Pombe
Mikeka
Pisi
Moshi
Vtu kibao nashindwa kufanya kwa sababu nipo engaged na mtu mzima....
Mambo ni meng mkuu
Labda ujui tuu ..Siumwambie akusubirie ukue ndio akubane