Je, ungekuwa wewe ungefanyaje?

Je, ungekuwa wewe ungefanyaje?

nimetokea kukupenda,kama vile njiwa aangukiapo mikononi mwa mwindaji,basi ndio nami nilivyoanguka mikononi mwako.nionjeshe penzi lako sitalichezea.mimi nina hekima kama Baba V .pesa ni makaratasi,bali penzi ni kama maua,na pesa ni kama maji katika maua mazuri yaliyomea.siwezi kukudanganya na mapenzi yetu hayataishia njiani kama mbwa wafanyavyo,bali tutakuwa wote kama mchwa walivyo na ushirikiano.sema ndio uufariji moyo wangu.
andaa pesa mapema hakuna kupenda bila kutoa... aya twende PM
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndiyo mwisho wa igizo la kimapenzi la binti
 
Mh pagumu hapo, hadi ameamua kumuoa anampenda, agangamale tu ingawa upendo wa dhati upo kwa ex wake
 
Nusura sherehe ya harusi ivunjike ghafla bi harusi alipoduwaa na kushindwa kutia sahihi cheti cha ndoa alipomwona mpenzi wake wa zamani kanisani.Bi harusi alionekana kuchanganyikiwa alipomwona jamaa huyo akiingia kanisani alipokuwa akijiandaa kutia sahihi cheti hicho na kwa dakika mbili akasimama kama sanamu.
Ilisemekana kuwa, jamaa alikuwa amepanga kumuoa kidosho huyo lakini akahama mji na mwasiliano kati yao yakakatika.

Ndipo kipusa akaamua kuolewa na bwana huyu wa sasa alipokosa matumaini ya kumpata jamaa huyo tena. Mpenzi wake wa zamani alitokea wakati bwana harusi alipokuwa akitia sahihi cheti cha harusi. Alipomaliza alitaka kumkabidhi bi harusi kalamu lakini akashangaa kuona akiduwaa huku akikaza macho yake kwa jamaa aliyeingia kanisani na ikabidi Pastor amshawishi mwanadada atie sahihi cheti hicho.
Kisa hiki kimetokea huko BUNGOMA, mashariki mwa Kenya.

Je, ungekuwa wewe ndiye bwana harusi ungefanyaje?

Nashukuru mie nilioa zamaani haliwezi kunitokea, otherwise I can Mushi someone with my pistol.
 
Ningeoa tu.kwani hata mwanaume angemuona binti alietaka kumuoa mawasiliano ya kapota angepanic pia
 
mkuu hili linasababishwa n sisi wanaume ama akina dada kuwa wachaguzi sana?

Mkuu kuna sababu kadhaa ikiwemo hiyo uliyoitaja.

1. Kuchaguliwa mchumba na wazazi kwa kigezo cha dini, kabila nk

2. Mwanaume au mwanamke kutanguliza vipaumbele visivyo vya msingi kama pesa, mali, elimu kwa kifupi tuite tamaa.
Wapo watu wanaoamua kuolewa na fulani kwa kuwa tu mwanaume huyo ana mali au pesa lakini wanasahau kuwa upendo hupaswa kwanza kutangulia.

3. Ukosefu wa elimu au mafundisho sahihi ya mahusiano yapelekeayo ndoa. Kuna vitu vingi mtu hupaswa kufahamu ikiwemo namna ya kuchagua mwenzi sahihi, wakati sahihi wa kuingia katika mahusiano nk.

Yapo mengine mengi mkuu....
 
ningewaoa wote wawili mke angetoa huduma ya papuchi alaf boya angetoa huduma ya min kabang siwez ingia gharama for nothing kudadadeki
 
ningemwacha aendelee na jama yake kwani huyo hana upendo wa dhati kwangu
ndoa hukamilika baada ya cheti kusainiwa na wote wawili kama uthibitisho
kiapo cha kanisani pekee hakitoshi ingawa kwa mungu unakuwa umeshafunga ndoa
ila kiserikali ndoa hukamilkka mnaposaini vyeti na usiku mume ameweza kumridhisha mwenzake
huyo lazima atamsaliti
 
Mh pagumu hapo, hadi ameamua kumuoa anampenda, agangamale tu ingawa upendo wa dhati upo kwa ex wake

mkuu, alikubali kuolewa na huyo mburula baada ya kupotezana kimawasiliano na kipenzy wake wa zamani. ni kama vile mwanamke anapofiwa na kukubali kuolewa tena, hata na mtu mjingamjinga tu kama last option. au ni kama vile mtu unapofeli mtihani na kuamua kwenda ualimu utake usitake--maana hakuna kazi nyingine kwa failures zaidi ya ualimu na upolisi. umeona eeh?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom