Je ungeepukaje janga hili?

Je ungeepukaje janga hili?

]Kila afikiri ni jinsi gani angejiokoa dhidi ya balaa hii

[/QUOTE]

Mr Bones: kumbuka ya huyu bwana - alipokuwa kichanga na kupona ajali ya ndege na kuachwa porini peke yake simba alimtokea na kumtishia....'Kichanga' Bones aliachia bomu hilo, kama la mtu mzima ...simba alipigwa na butwaaa akaondoka mwenyewe!
 
Huwa na enjoy sana movie za yule jamaa! vituko mwanzo mwisho..umenikumbusha mbali.
 
Unamtupia godoro asinzie kama alivyofanya Mzee majuto
 
rahisi sana unamrushia hilo hema unasepa na bunduki..
 
Back
Top Bottom