Je ungeepukaje janga hili?

Hapo ni kupiga maombi ya kupokelewa vyema kwa Mungu Muumba...lol!
 
Kudadadeki! Unamueleza nini king wa jungle huyo?
Nahis wale wa kuruka na ungo wasingesumbuka hapo!
 
Mi mtu/kitu chochote huwa hakinisogelei tokea upande ilipo miguu. Napiga mateke kishenzi. Huyo simba mbona angekoma?
 
Hapo wamwambia Tuheshimiane, huoni umeingia territory yangu ?? Shh sh sshh, unamwabie tena ondoka nisikuone kabisa !!
afu, wavuta zipi baada ya kuchukua GUN yako.
 
Hii mbona simple..? Sisi wamasai mahari huwa ni ngozi ya simba.! For this case simba kajileta mwenyewe and Only knife will set me free..! Hapo nampa kisu cha jicho, akikwepa namtoa utumbo..! Lazima nipate mke kupitia mnyama huyu..!
 
Simba mwenyewe ana amani - ila jamaa akipanic na kufanya vioja ndio atamtibua.
 
Unamkaribisha kama umeona mtu na si mfalme wa nyika

Maana hapo hakuna namna
 
Atandoka mwenyewe kwa harufu itakayotanda hapo ghafla, manaake ni lazima uugue tumbo la kuhara ghafla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…