Je ungeamua nini hapa....??!

Get over it..
Ngoma si kitu kizuri kabisa. nawapa pole wanaopitia janga hili sasa.
ila kumbukeni kuna magonjwa mingine ni balaa zaidi. kitu kama Cancer
ya ngozi, au ya ini, etc ikiwa kwenye stage ya mwisho unahesabu siku za kuishi.
au kama umewahi sikia hao watoto waliiozaliwa bila ngozi . we fikiri maisha yako yote huna ngozi.
Ni challenge za maisha inategemea uko strong kiasi gani .
even tho you have to pick yourself up and move on . that's life
thus right,uko sawa kabisa.
 
Natafuta kwanza mzinga wangu wa vodka huko wapi,then bastola yangu alafu nahakikisha nimelewa vizuru and at last kumlipua yeye na mimi pia kwitha kazi.
 
sasa nilishajua na ngoma nae ana ngoma basi nikula uttamu tuu mpaka mwisho
 
ntakachofanya ni kununua namba nyingine ya simu. halafu namtumia kisiri ili nione reaction yake. au najifanya na mimi ni muathirika. ili nione reaction yake!!
 
kama nampenda mupenz hiyo si tiket ya kuniachanisha nae hata kdg...hosp zipo tutaenda kupima km ndo hivyo yamaharabika dawa zipo.wangap wanasavaiv mtaan?hizo zilikuwa za enz hizo dawa hakuna.......kama imekukuta kuwa na moyo wa ujasiri et.....
 
Namimi nitaanza kuorodhesha majina ya nitakao kufa nao.
MP.
 
Mi nadhan itakubidi usubiri mie mi3 ipite ukapimwe kujua afya yako, lakn pia muliongelee suala hilo na mpnzio.
 
....Baada ya mpenzi wako kutokakwenda uwani,unafungua simu yake kama kumchunguza ktk (inbox) unakuta ujumbehuu... "...Honey am sorry,ukweli nilikosa jinsi yakuwasiliana na wewe kwa kweli ,naogopa hata kuonana na wewe usoni najua ulikuwaukinitafuta sana ila kwa sasa nimeamua kumrudia mungu na kujikaza kisabunikukuandikia haya,ila nafsi inanisuta ninaomba sana msamaha wako,najuaumeshtushwa na ujumbe huu. Ila Samahani nilijua nitakuumiza tu kwa taarifa hii yangu kwako. Naombautambue nakupenda sana ila ishatokea pokea kama ilivyo,mimi kwa sasa nimuathirika wa virusi vya ukimwi.Najua hata wewe utakuwa navyo tu,kwani tumeshirikitendo la ndoa mara nyingi sana na si ivyo tu wewe ndiye wa mwisho niliyeshiriki nawe..Nisamehe kwani nilikuwa na wapenzi wengi pamoja nawe,ila wewendiye niliye kupenda sana ila ishatokea nimekupa gonjwa kwama malipo ya penzilako kwangu.Nisamehe kwani yalishatokea na kupata virusi sio mwisho wamaisha..Nikushauri tu kawaone wataalam wa afya kama nilivyo fanya mimi,piaumrudie Mungu achana na ngono zembe...." .
=>wakati unausoma ujumbe huo ni dakika chache tu mmetoka ku-enjoy tendo bilakinga,je utafanya nini kama maamuzi yako ya awali?


Msg ya kwenye simu haiwezi kubeba maneno yote hayo itaishia hapo kwenye bolded tu mengine yote hayatafika, so I will keep enjoying, lol.......... si unajuwa Jogoo hafi kwa utitiri.
 
Kaoge haraka. Jacob Zuma alikwenda kavukavu na mwathirika na baada ya kumaliza mechi upesi alikimbilia bafuni kuoga matokeo: hakupata ngoma. wahi.
 
Natafuta kwanza mzinga wangu wa vodka huko wapi,then bastola yangu alafu nahakikisha nimelewa vizuru and at last kumlipua yeye na mimi pia kwitha kazi.
...Itabidi ujiandae na moto wa milele jehanam
 
kama nampenda mupenz hiyo si tiket ya kuniachanisha nae hata kdg...hosp zipo tutaenda kupima km ndo hivyo yamaharabika dawa zipo.wangap wanasavaiv mtaan?hizo zilikuwa za enz hizo dawa hakuna.......kama imekukuta kuwa na moyo wa ujasiri et.....
ndiyo,inafaa ni maamuzi mazuri
 
Ina maana ujawahi ona msg 3 kuingia kwa mpigo?

Msg ya kwenye simu haiwezi kubeba maneno yote hayo itaishia hapo kwenye bolded tu mengine yote hayatafika, so I will keep enjoying, lol.......... si unajuwa Jogoo hafi kwa utitiri.
dah,umenivunja mbavu mzee.
 
Fast nakimbilia angaza kupima na kupata ushauri nasaha,kama -ve nasepa na kama ni +ve nampiga mkwara atulie kisha namuowa ili tuambukizane vizuri ss wawili



....Baada ya mpenzi wako kutoka kwenda uwani,unafungua simu yake kama kumchunguza ktk (inbox) unakuta ujumbe huu... "...Honey am sorry,ukweli nilikosa jinsi ya kuwasiliana na wewe kwa kweli ,naogopa hata kuonana na wewe usoni najua ulikuwa ukinitafuta sana ila kwa sasa nimeamua kumrudia mungu na kujikaza kisabuni kukuandikia haya,ila nafsi inanisuta ninaomba sana msamaha wako,najua umeshtushwa na ujumbe huu.Ila Samahani nilijua nitakuumiza tu kwa taarifa hii yangu kwako. Naomba utambue nakupenda sana ila ishatokea pokea kama ilivyo,mimi kwa sasa ni muathirika wa virusi vya ukimwi.Najua hata wewe utakuwa navyo tu,kwani tumeshiriki tendo la ndoa mara nyingi sana na si ivyo tu wewe ndiye wa mwisho niliye shiriki nawe..Nisamehe kwani nilikuwa na wapenzi wengi pamoja nawe,ila wewe ndiye niliye kupenda sana ila ishatokea nimekupa gonjwa kwama malipo ya penzi lako kwangu.Nisamehe kwani yalishatokea na kupata virusi sio mwisho wa maisha..Nikushauri tu kawaone wataalam wa afya kama nilivyo fanya mimi,pia umrudie Mungu achana na ngono zembe...." .
=>wakati unausoma ujumbe huo ni dakika chache tu mmetoka ku-enjoy tendo bila kinga,je utafanya nini kama maamuzi yako ya awali?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom