Je, unga wa Habbat Soda unapatikana wapi?

Je, unga wa Habbat Soda unapatikana wapi?

kipoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2012
Posts
372
Reaction score
315
Msaada wanaJF,

Nasikia unga wa habbat sawda (Habat Soda) unatibu magonjwa mengi sana, kwa anayejua naomba anisaidie ili niweze kuupata, pia mafuta yake!
 
Google black seed utapata kila unachokihitaji kuhusu habat sawda, mimi natumia black seed oil inanisaidia sana ni pm
 
Back
Top Bottom