Je Unazo Siri Ambazo Hutozisema Hadi Ukifa?

im a truth person bt for me 'the earlier i know the better is my rule'. bt come to think of this innocent act of rescuing me, i would like to know though my whole world will crumble and my bubble bursted! question is, why tell me when u ar dying? u cold tell me and be there for me! keep loving, and be there for me during the search and all frustrations. if it is abt my dad or mom ambae hakunitaka deliberately coz i was on their way, well may be i dont wanna know coz hata nikijua i wldnt want contact or a relationship.if they ddnt lv me then,why now?
at what age can a kid be told abt their background, u think?
I sure would like to know because I love the truth, I am a truth fighter and therefore, I can handle the truth.

And I'll ask my mother why did she do me like that?

I will definitely have a whole lot say because theorizing about the whys behind the whats is my shtick.

Would you like to know if you were in such a situation?
 
Ni matumaini yangu kuwa nyote muwazima na mnajiandaa na maandilizi mema ya weekend. Kwa muda mrefu sana toka nikiwa mtoto hadi nimekuwa mtu mzima sasa nimeshawahi kusikia mara nyingi sana kutoka kwa watu wa umri tofauti, rangi tofauti, mila tofauti, nchi tofauti wazee kwa vijana na wanawake na wanaume wakiongelea kuwa wanazo siri ambazo hawatozisema na watakufa na kuzikwa nazo. Wapo waliodai watazianika baadae ktk maisha yao kabla mauti haijawakuta.
Wapo ambao wameweza kuziweka wazi lakini anonimously na hivyo wamezianika bila watu kufahamu hizo siri zimetoka kwa nani. Binafsi sina.
Swali:
1. Je unayo siri ama unazo siri ambazo utakufa nazo na kuzikwa nazo kaburini bila ku-confess kwa mtu yoyote yule wakati wa uhai wako?
2. Je unaweza kuzisema hapa jamvini hata kama just in brief?

Weekend njema!!

Vuvuzela, mimi ninazo. Lakini ni vizuri ufahamu kuwa kuna siri ambazo hazitakiwi kusemwa kwa ajili ya kuimarisha mahusiano ya jamii-yaani ukiziweka wazi suluhu haiwezi kupatikana! Kwa mfano mimi nakufahamu Vuvu in person, imagine leo hii nikikueleza siri zangu zinazohusuu mimi na 'nanihino' wako! utaacha mara moja kuchezea hiyo key board yako na kukimbilia nyumbani ili ujue ilikuaje..., naomba tu for the sake of harmony among us na jamii kwa ujumla tuendelee kutunza baadhi ya siri zetu ambazo zikiwekwa wazi zitaharibu mengi!
 
sasa nikiziweka hapa si zitakua so siri tena! we vp?
 
Wanawake wanazo siri sana tena zile za kuadanganya watoto.

Yupo kwenye ndoa na mume wake wamepata watoto 3 lakini watoto 2 ni wa Chatu Dume, mume ajui anajuawa wototo wote ni wake.

Hizi siri mara nyingi mpaka wanakufa nazo...lol...
 
Haya mambo ya siri yana mambo mengi ndani yake lakini yakiongozwa zaidi na Mila,Desturi,Tamaduni, imani za Kidini na jinsi ya tafsiri ya jamii kuhusu maendeleo. kwa Mfano watu Mtwara na Shinyanga wanapozungumzia mahusiano ya kimapenzi, lazima nini cha kusema na kipi si cha kusema watatofautiana. Wakati makabila mengine kuelezea umemfurahishaje mpenzi wako usiku uliopita si jambo la ajabukwa wengine hata kusema huwa na ulala kitanda kimoja na mwenzio inakuwa ngumu.

Lakini utunzaji wa siri pia ni kipimo cha utimamu wa akili za mtu. Wale tunaowaita wendawazimu ni kwa sababu wanasema kila jambo wanalolijua bila ya kuchagua mahali pa kusema. mwendazimu kama ilijua siri yako kabla ya kuwa chizi basi ujue kazi unayo. Na pia hata walevi nao kipimo cha kujua jamaa kalewa ni pale anapoanza kutoa siri. marijani alishawahi kuimba walikuwa na mwenzao hawana hili na lile mara jamaa alipolewa akatoa siri kumbe suti kaazima!!

Kwa hiyo uwezo wako wa kutunza siri unapokuwa mkubwa basi ujue kwamba utimamu wa akili yako ni mkubwa vilevile. Na kama ukiambiwa jambo la siri na wewe moyo wako unakutukuta na kumtafuta wa kumwambia, jua vilevile uwezo wa akili yako ni mdogo. Kuna siri ambazo usiri wake unatokana na usalama wa taifa ukisema utaliangamiza taifa na wakati huo kuna nyingine usipozisema basi utaonekana pia unalisaliti taifa. Kwa hiyo mahali na wakati ni vitu vya muhimu sana katika kutathimini ipi ni siri ya kusema au ipi si ya kusema.
 
sasa nikiziweka hapa si zitakua so siri tena! we vp?

Kwani kuna mtu anakujua hapa? Most of the JF members wako anonymous kupitia majina yao na avatars zao, na ndio maana nimeuliza swali hili. Ingekuwa tunajuana kwa majina na picha/avatars basi hili swali lingekuwa irrelevant
 
Vuvuzela, mimi ninazo. Lakini ni vizuri ufahamu kuwa kuna siri ambazo hazitakiwi kusemwa kwa ajili ya kuimarisha mahusiano ya jamii-yaani ukiziweka wazi suluhu haiwezi kupatikana! Kwa mfano mimi nakufahamu Vuvu in person, imagine leo hii nikikueleza siri zangu zinazohusuu mimi na 'nanihino' wako! utaacha mara moja kuchezea hiyo key board yako na kukimbilia nyumbani ili ujue ilikuaje..., naomba tu for the sake of harmony among us na jamii kwa ujumla tuendelee kutunza baadhi ya siri zetu ambazo zikiwekwa wazi zitaharibu mengi!

Nakubaliana nawe lakini hatujuani hapa jamvini and therefore ni mahala perfect pa ku-vent na kutupunguzia mzigo wa kuendelea kuzibeba hizo siri moyoni
 
im a truth person bt for me 'the earlier i know the better is my rule'. bt come to think of this innocent act of rescuing me, i would like to know though my whole world will crumble and my bubble bursted! question is, why tell me when u ar dying? u cold tell me and be there for me! keep loving, and be there for me during the search and all frustrations. if it is abt my dad or mom ambae hakunitaka deliberately coz i was on their way, well may be i dont wanna know coz hata nikijua i wldnt want contact or a relationship.if they ddnt lv me then,why now?
at what age can a kid be told abt their background, u think?

I sympathize with your story, and am so sorry to learn about what you are going through at the moment. Your story sounds like what happened to the parents of the late Steve Jobs
 
It's a terrible thing for anyone to have to go through and it just hurts to the core. I'm glad I wasn't lied to.
?

Unajuaje? Au umecheck DNA na baba yako? Hata mama yako u could have been adopted, au kulitokea switching hospital!
 
Mkuu Vuvuzela, hili swali ni la kizushi lakini umeongea point. Siri za mioyoni mwetu nnyingine ni bora ziende kaburini kuliko zijulikane
 
Wanawake wanazo siri sana tena zile za kuadanganya watoto.

Yupo kwenye ndoa na mume wake wamepata watoto 3 lakini watoto 2 ni wa Chatu Dume, mume ajui anajuawa wototo wote ni wake.

Hizi siri mara nyingi mpaka wanakufa nazo...lol...
Hii ni kali
 
Siri ni muhmu saaana,ktk ngazi zote; kwa mtu binafsi, familia, hadi taifa. Mambo ya system, mwaelewa? Siri nyingine ndo kama hizi hapa jamvini sio rahisi FF,Nyaningabu,mamndenyi, bimkubwa,biskuti ya chuma, kijukuu etc etc kujiexpose kwa jina kamili na kumwaga maCV hapa. Katiba pia inatambua privacy. Siri zipo ht mimi ninasiri zangu.
 
Back
Top Bottom