Umejuaje ..??kwani neno nakupenda ni swali?
Good day all
Hii maada nimeiona sehemu nikaipenda nimeona sio mbaya ku share hapa!
wewe kama mwanamke au hata kama Ni mwanaume Unaweza kuishi na mtu ambaye upo naye katika mahusiano na kamwe hajawahi kukutamkia “Nakupenda”?
Your partner anaweza akawa anakupenda na kukuonesha kwa matendo tu kuwa anakupenda na kukujali lakini kukutamkia neno Nakupenda kwake ni tatizo.
Au mwingine anakujibu tu pale wewe unapomwambia unampenda lakini yeye hajawahi kuanza kukuambia wewe.
Binadamu tumeumbwa tofauti, wengine huwa wanaamini kuwa wanapendwa pale tu ambapo wenza wao watawatamkia kabisa na wengine huwa wanaona kuwa neno hilo halina mana yoyote. Unakuta mtu huyu anaweza kumwambia ndugu, mtoto au hata rafiki yake kuwa anampenda lakini kamwe asimtamkie mwenza wake.
Wewe je, unaweza kuishi na mtu ambaye kamwe hajawahi kukuambia neno “Nakupenda?
like it..........Neno nakupenda lina maana kubwa saana kwenye maisha ya ndoa, tusiishi kwa mazoea ndio hupunguza hisia za mapenzi na mwisho mnaishia kuchepukaa.
Kama unampa kila kitu kuonyesha unampenda, inakugharimu nini kumwambia nakupenda!!! Mwambie nakupenda mara nyingi uwezavyo huo ndo ubavu wako bwana!!!!!
haahaha not msichana ni mama pia!Hii mada laza itakuwa imeletwa na msichana tu
mkuu ilishawah kunitokea hio asee, mzigoni nikajikuta nimeropoka na sijawah kumtamkia kabla, alinishushua akaniambia mbona sijawah kumuambia kablaNilikutana na mpenzi wangu pasipo kuambiana nakupenda yani ilikuwa kama emergency nikajikuta niko nae kimwili amekuwa mpenzi wangu kwa muda wa miezi mitatu siku moja ndio niligundua kumbe nampenda, siku hiyo ndio nilimtamkia nakupenda ingawaji yeye alikuwa akinitamkia mara kwa mara alifurahi sana siku hiyo.
Romeo & JuliethMapenzi ya Tamthilia
THE SAME JINSIA......maana ndio mnaliliaga vitu kama hivyo. me kama mwanaume hata usinponambia hiyo kitu wala hainisumbui kichwa! but wadada wao itakuwa shida....unakuta eti analiwa na mtu kisa tu anamwambia umependeza kila siku na eti baby wake hamwambiagi ( this is stupidy kwa kweli) inabidi tu uelewe kuwa kuishi na mwanamke sio kazi ndogo so anapoamua kujifunga na wewe jua anakupenda kweli so u dont have to worry kuwa anakwambia anakupenda kila siku au la....haahaha not msichana ni mama pia!
hayo ni mawazo yako, kumwambia mwenzio unampenda wala haitumii nguvu, ila wengi wanashindwa kutamka kwa sababu hawako romantic pia, kwa hiyo sio makosa yao ila wameumwa hivyoTHE SAME JINSIA......maana ndio mnaliliaga vitu kama hivyo. me kama mwanaume hata usinponambia hiyo kitu wala hainisumbui kichwa! but wadada wao itakuwa shida....unakuta eti analiwa na mtu kisa tu anamwambia umependeza kila siku na eti baby wake hamwambiagi ( this is stupidy kwa kweli) inabidi tu uelewe kuwa kuishi na mwanamke sio kazi ndogo so anapoamua kujifunga na wewe jua anakupenda kweli so u dont have to worry kuwa anakwambia anakupenda kila siku au la....
by the way ukiona mwanaume haishi kukwambia nakupenda ujue anapiga nje so anajaribu kusawazisha......well just a thought.
Mimi sijawahi kumtamkia mke wangu kwamba nampenda, na yeye hajawahi nitamkia. Ila tunapendana.
Hii we naweNeno nakupenda gumu san kutamka, niliwahi kumtamkia mtu mmoja tu,dada yangu labda na watoto wadogo wa ndugu na jamaa tukiwa tunataniana labda katoto kanasema wewe anko hunipendi baada ya kutokapelekea zawadi najitetea nakupenda.
Swali, kwanza unampendaje mtu ambae sio ndugu yako?
Mmh makubWa ayaHuu mwaka wa 14 sijawahi kumwambia mke wangu nakupenda hata yeye huwa haniambii lakini tunapendana, inategemea utamaduni wenu/wako.
Mfano ni nadra sana kwa wajapani kupeana kiss, hiyo sio culture yao
Thats how a real man should doAisee hilo neno huwa nalitamka kama dozi vile kutwa mara tatu au zaidi ya hapo kwa siku, niko hivyo.
Nimedanyaje mama angu?Hii we nawe