JE ? Unaweza kufanya mapenzi na mwanamke mwenye mimba haliyakuwa mimba si yako.

Sina mpango wa kumuoa na cjawahi kufikiria kuoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi na mhusika inabidi ajue hilo siyo umbandue tu dada wa watu kwa kigezo cha kumsaidia then umkimbie maana yeye anaweza akajua amempata sasa wa kumtuliza na kumpoza maumivu ya kuachwa.
Na ww ule mzigo then umkimbie bila taarifa. Mwambie kabisa ukweli kuwa wewe n mpitaji tu siyo muoaji ili ajue na ajiandae kisaikolojia kabsa. Elewa ameshaachwa hapo mwanzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi na mhusika inabidi ajue hilo siyo umbandue tu dada wa watu kwa kigezo cha kumsaidia then umkimbie maana yeye anaweza akajua amempata sasa wa kumtuliza na kumpoza maumivu ya kuachwa.
Na ww ule mzigo then umkimbie bila taarifa. Mwambie kabisa ukweli kuwa wewe n mpitaji tu siyo muoaji ili ajue na ajiandae kisaikolojia kabsa. Elewa ameshaachwa hapo mwanzo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu nimekuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla sijasoma maoni ya wengine, niseme tuu mimi nilijikuta nimekula mjamzito wa miezi saba na amejifungua salama huku akinitaka nimtajie jina la mtoto. Ameolewa na mume wake alikuwa hamli nadhani kutokana na mabadiliko ya kimwili hivyo kumfanya mjamzito wa watu awe mwenye mawazo mengi hadi alipokutana na Baba Huruma mie.
 
Nimefanya Sana aisee
Habari ndugu zangu wa Jf .
Naomb niende moja kwa moja kwenye dhumuni la kutuma uzi huu,
Tar. ...../11/..... nilimtongoza mwanamke aliyekuwa akikaa mtaa wa pili . Mara ya kwanza alikuwa anagoma lakin baadae Alinikubalia tukaanzisha mausiano, ilikuwa kila siku lazima tuonane na tukae zaidi ya masaa matatu tukizungumza.
Baada ya wiki mbili akaniambia mr........ mwenzako ninaujauzito na baba mwenye mtoto amenikana, nikamuuliza huo ujauzito una mda gani akaniambia una miezi miwili, nikamuuliza tena dhumuni la kuniambia hili swala wakati huu ni nn, akaniambia anaitaji nimpeleke clinic kwa sabab bila ya baba awezi kupokelewa ,nikamuuliza tena kwann ukuniambia mapema, akanijibu aliogopa nitamuacha, kwa uzuri ya yule mwanamke nilihisi ananipima imani.
Lakini kesho yake nikampeleka clinic na kwel alikuwa na mimba, tukapimwa kila kitu kikawa fresh na kweny swala la jina la baba mtot aliniomba nisiandike jina langu na nilifanya kama atakavyo.
Tukawa tunaendelea na mausiano kama kawaida lakini nilimwambia kuwa awaze kuhus mtot na siyo mapenz nashukur alinielewa, swala la kukutana kila cku likapungua kidogo ikawa ni mara tatu kwa wiki .
Sas swala linakuja hivi anaomba awe anafanya mapenzi na mimi akidau kuwa nesi alimwambia awe anafanya mapenzi asikae kizembe.
Nimemuomba nitafakari sijui nimpe jibu gani naogop kufany mapenz n yeye ..
Ndug zang naomb mnisaidie kwa mawazo ..


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama kakuomba kampani please mpe tu wala usiogope isitoshe mmeshapima afya wote mko powa we piga mzigo na kama una weza msaidie kwa mambo mengine kama yapo ndani ya uwezo wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...lakini kama umeamua kumuoa ivyo ivyo bas unaweza tu kuendelea
Kwan hakuna madhala hata ukishiriki nae tendo la ndoa
 
Back
Top Bottom