James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,112
- 13,342
Unataka kumpa mimba nyingine akizaa kisha umkimbie au
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Unataka kumpa mimba nyingine akizaa kisha umkimbie au
Pow nimekuelewa mambo hayatakuwa meng, mengi hayatakuwa mamboUnataka kumpa mimba nyingine akizaa kisha umkimbie au
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Basi na mhusika inabidi ajue hilo siyo umbandue tu dada wa watu kwa kigezo cha kumsaidia then umkimbie maana yeye anaweza akajua amempata sasa wa kumtuliza na kumpoza maumivu ya kuachwa.
Sawa mkuu nimekuelewaBasi na mhusika inabidi ajue hilo siyo umbandue tu dada wa watu kwa kigezo cha kumsaidia then umkimbie maana yeye anaweza akajua amempata sasa wa kumtuliza na kumpoza maumivu ya kuachwa.
Na ww ule mzigo then umkimbie bila taarifa. Mwambie kabisa ukweli kuwa wewe n mpitaji tu siyo muoaji ili ajue na ajiandae kisaikolojia kabsa. Elewa ameshaachwa hapo mwanzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ndugu zangu wa Jf .
Naomb niende moja kwa moja kwenye dhumuni la kutuma uzi huu,
Tar. ...../11/..... nilimtongoza mwanamke aliyekuwa akikaa mtaa wa pili . Mara ya kwanza alikuwa anagoma lakin baadae Alinikubalia tukaanzisha mausiano, ilikuwa kila siku lazima tuonane na tukae zaidi ya masaa matatu tukizungumza.
Baada ya wiki mbili akaniambia mr........ mwenzako ninaujauzito na baba mwenye mtoto amenikana, nikamuuliza huo ujauzito una mda gani akaniambia una miezi miwili, nikamuuliza tena dhumuni la kuniambia hili swala wakati huu ni nn, akaniambia anaitaji nimpeleke clinic kwa sabab bila ya baba awezi kupokelewa ,nikamuuliza tena kwann ukuniambia mapema, akanijibu aliogopa nitamuacha, kwa uzuri ya yule mwanamke nilihisi ananipima imani.
Lakini kesho yake nikampeleka clinic na kwel alikuwa na mimba, tukapimwa kila kitu kikawa fresh na kweny swala la jina la baba mtot aliniomba nisiandike jina langu na nilifanya kama atakavyo.
Tukawa tunaendelea na mausiano kama kawaida lakini nilimwambia kuwa awaze kuhus mtot na siyo mapenz nashukur alinielewa, swala la kukutana kila cku likapungua kidogo ikawa ni mara tatu kwa wiki .
Sas swala linakuja hivi anaomba awe anafanya mapenzi na mimi akidau kuwa nesi alimwambia awe anafanya mapenzi asikae kizembe.
Nimemuomba nitafakari sijui nimpe jibu gani naogop kufany mapenz n yeye ..
Ndug zang naomb mnisaidie kwa mawazo ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kumuoa ?
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
SanaNaskia hua ni wamoto huko chini na watamu sana! Nakazia tu naskia!
Sent using Jamii Forums mobile app