Je, unaweza kaa na mpenzi wako weekend nzima ndani?

Je, unaweza kaa na mpenzi wako weekend nzima ndani?

Adriel Vin

Senior Member
Joined
Jun 25, 2020
Posts
148
Reaction score
765
Binafsi haya mambo ya kugandana kila mahali tuko wote, ikitokea tuko ndani basi weekend nzima tupo tu tumegandana mi huwa siwezi kwakweli yani ntajikuta nadanganya kuwa naenda kuangalia mpira ili nipate some space kukaa na mwananmke muda zaidi ya masaa 12 siwezi kabisa.

Sijui wenzangu kwemu likoje hili...
 
Binafsi haya mambo ya kugandana kila mahali tuko wote, ikitokea tuko ndani basi weekend nzima tupo tu tumegandana mi huwa siwezi kwakweli yani ntajikuta nadanganya kuwa naenda kuangalia mpira ili nipate some space.....kukaa na mwananmke muda zaidi ya masaa 12 siwezi kabisa. sijui wenzangu kwemu likoje hili...
Ni kweli mkuu,,,maana Mundende au mkongo ukiisha,,,ni bora kila mtu akae kwao..

Bila mkongo gheto kitakachofata kwako ni aibu..
 
Binafsi haya mambo ya kugandana kila mahali tuko wote, ikitokea tuko ndani basi weekend nzima tupo tu tumegandana mi huwa siwezi kwakweli yani ntajikuta nadanganya kuwa naenda kuangalia mpira ili nipate some space kukaa na mwananmke muda zaidi ya masaa 12 siwezi kabisa.

Sijui wenzangu kwemu likoje hili...

Kwa joto la Dar Air condition huna feni la maana huna utapata wapi ujasiri wakujifungia stoo na Mtoto wa watu!masaa 12?
 
Achilia mbali Saturday and Sunday haya ile weekend ya pasaka 😋😋😋
Weekend manake ni jumamosi na jumapili

Mbona jambo dogo sana hilo
 
Binafsi haya mambo ya kugandana kila mahali tuko wote, ikitokea tuko ndani basi weekend nzima tupo tu tumegandana mi huwa siwezi kwakweli yani ntajikuta nadanganya kuwa naenda kuangalia mpira ili nipate some space kukaa na mwananmke muda zaidi ya masaa 12 siwezi kabisa.

Sijui wenzangu kwemu likoje hili...
Na yeye akitoka, kwako unaona sawa tu?
 
Kugandana sana sio poa kila mtu inabid ampe mwenzie nafasi,kuna mda pia unahitaji kubadilishana mawazo na wanaume wenzio,the same to woman,mbaya zaidi mnakaa masaa 12 yote mnadiscuss mapenzi i hate this
 
Kuna hatari ukija kuoa utakua unashinda bar mkuu, inawezekana pia ukawa unalala huko huko[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
NI KWELI MKUU...MI KUGANDANA NA PISI KILA MUDA SIWEZI
 
Back
Top Bottom