Mahakama ya haki. Tuwakutanishe hawa wawili

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,845
1. cutelove
2. MAGALLAH R

Hawa ndugu wawili wamekutana JF... Au wamekutanishwa na JF... Walikoanzia hakujulikani sana ilikuwa ni siri yao wawili mpaka mambo yalipoharibika na mmoja kukinukisha hadharani

Aliyekosa uvumilivu ni mnyange cutelove akatoa yake ya moyoni yaliyomuumiza ila pengine akikwepa kuongea yote.... Hakumtaja mhusika lakini....
Mtuhumiwa kuona post ya tuhuma dhidi yake naye akaweka post yake kuelezea kinachoitwa ukweli halisi
Ni wakati murua sasa wa kuwakutanisha wote hapa... Ili kila mmoja apinge ama aunge mkono shutuma dhidi yake.. Ukweli ujulikane kisha tufundane kuhusiana na mambo ya privacy

Ilipoanzia... Tuhuma za cutelove

Kuna mkaka wa humu,alianza kama utani huko Pm,kama kawaida yao kwa kuomba namba ya WhatsApp walivyo fasta,akaniomba nikampa

Tumezidi kuwasiliana,na kuanza kuzoeana ingawa yeye yupo Dar ,na Mimi nikiwa Mwanza

Alianza kama marafiki,tukawa tunapiga stories za maisha hapa na pale,bila kuniambia kuwa ananihitaji kimapenzi

Sasa juzi kanitumia nauli nije huku Dar tukutane na kufahamiana zaidi,basi nikamwambia hamna shida

Nikaanza safari,kufika Dodoma ndo akaanza kuingiza stories za kulala pamoja,nikamwambia for first time haitawezekana,nitakuja huko tutaonana,basi siku nyingine nikija ndo tutafanya hivyo,akakubali

Nikafika hapa Dar,akanipokea fresh,akanipeleka hotel tukapata chakula,,ila akawa ananiomba tulale pamoja nikakataa,akalazimisha nikahisi nisipoweka kigingi kizito hapa naweza kuingia online bila matarajio

Basi nikamwambia,kesho yaani nipo tayari kwa hilo unalotaka ila sharti la kwanza tukapime magonjwa ya ngono,akakataa,nikamwambia basi nikachukulie chumba nikalale akaniuliza ila tutalala pamoja,nikamwambia wewe kachukue tutaongea huko chumbani,wakati ananyenyuka nikaita Tax nikasepa na kuzima sim

Haraka zenu muda mwingine mtakuwa mnaambulia zero,na kwa nini hutaki kupima zinaa kwanza,wengine tuna allergy na kondom,I'm sorry jamani,nipo nakata tiketi kwa ajili ya safari ya kesho

Jibu la MAGALLAH R

Kuna uzi mmoja unaelezea jinsi jamaa mmoja wa Dar alivyokimbiwa na Dada mmoja kutoka Mwanza baada ya jamaa huyo kumfosi dada hiyo wagegedane ila dada huyo hakuwa tayari.

WADAU.
Jamaa anayeelezwa hapo ni mimi kwa 100%. Nikweli nilizoeana na dada mmoja humu jf tukawa mabest sana humu jf mpaka ikafikia hatua tukawa wapenzi na kila mmoja akawa anatamani kumuona mwenzio. Hivyo tukapanga siku ili tuonane ili kila mmoja amjue mwenzie.

SIKU YA TAREHE 14-8-2019.
Hii ndiyo siku ambayo nilimtumia nauli dada huyo kiasi cha Tsh. 76,000/= ili atoke Mwanza na aje Dar ili tuweze kuonana. Na tukakubariana kwamba atafikia Guest na atakaa siku mbili na baadae ataenda kwa mjomba wake Sinza.

SIKU YA TAREHE 20-8-2019.
Ni siku ambayo dada huyo alipanda basi la ZUBERI na kuja Dar kwa lengo la kuonana na Mimi. Na tukaahidiana kwamba akifika dar tu niendee nikampokee Ubungo Stand, na akanisistizia nichukue Lodge mapema na nisisahau zana (kondom). Nikafanywa kama nilivyoagizwa nikachukua ATLATIS LODGE iliyopo kinondono na nilichukua chumba namba 116.

ALIPOFIKA DAR.
Binti huyo mwenye miaka kama 27 hivi alifika Dar mida kama ya saa tatu usiku hivi akiwa kavalia suruali nyeusi na sweta lililoandikwa TANZANIA kifuani kwake. Nilimpokea ila stim zote zilikata maana alikuwa mfupi sana na amekomaa kisawasawa. Ila nikakaza hivyohivyo tukaenda mpaka lodge niliyochukua.

TULIPOKUWA LODGE.
Alienda kuoga akala kisha tukagegedana bao moja la fasta fasta na kisha tukaanza mazungumzo. Katika mazungumzo yake aliniambie nimkopeshe laki na nusu (150,000/=) ili ajitibie tatizo la miguu.

Napia katika mazungumzo yake, aliniomba nimshauri kama achukue mkoba wa uganga au aache. Kwani babu yake anamlazimisha ampe mkoba wa uganga ila yeye anasitasita. Nikaona haya makubwa nikapanga namna ya kumkimbia.

NAMNA NILIVYOMKIMBIA.
Niliweka alarm katika simu ya saa kumi na moja alfajili. Ilipoita tu nikajifanya nimepigiwa simu ya muhimu inayohusu msiba wa baba mdogo hivyo natakiwa niende haraka. Alilazimisha tuende wote nikamgomea. Nikamuachia elfu saba na mia nane (7800/=) nikasepa zangu mzima.

BAADA YA MIMI KUONDOKA.
Akawa ananipigia simu kuniomba nauli ili arudi Mwanza nikawa sipokei mwisho wa siku akaanza kunitumia sms za kunitukana nikawa sijibu.

Ila cha ajabu zaidi leo nimeona uzi wake humu Jf kaandika uongo na kaacha kuandika ukweli kuhusu tukio zima
Hivi umesharudi Mwanza au bado upo D
ar?
 
Jf kiboko yao cutilove simuoni hata akilike comment
ALIPOFIKA DAR.
Binti huyo mwenye miaka kama 27 hivi alifika Dar mida kama ya saa tatu usiku hivi akiwa kavalia suruali nyeusi na sweta lililoandikwa TANZANIA kifuani kwake. Nilimpokea ila stim zote zilikata maana alikuwa mfupi sana na amekomaa kisawasawa. Ila nikakaza hivyohivyo tukaenda mpaka lodge niliyochukua.

TULIPOKUWA LODGE.
Alienda kuoga akala kisha tukagegedana bao moja la fasta fasta na kisha tukaanza mazungumzo. Katika mazungumzo yake aliniambie nimkopeshe laki na nusu (150,000/=) ili ajitibie
 
hahahah, Mshana Jr bwana!
Mbona wewe enzi zako na Demiss ulipiga kimya.
Waache kama walivyo, watayamaliza kama walivyoanza.
Halafu watu ambao wameshaoneshana nyeti zao sio jambo jema kuwaingilia wakipatana aibu itakuwa kwetu.
Wapotezee kaka yangu.
Karibu niko hapa ubalozi wa SA tumeandamana kudai ndege yetu
๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ
 
ALIPOFIKA DAR.
Binti huyo mwenye miaka kama 27 hivi alifika Dar mida kama ya saa tatu usiku hivi akiwa kavalia suruali nyeusi na sweta lililoandikwa TANZANIA kifuani kwake. Nilimpokea ila stim zote zilikata maana alikuwa mfupi sana na amekomaa kisawasawa. Ila nikakaza hivyohivyo tukaenda mpaka lodge niliyochukua.

TULIPOKUWA LODGE.
Alienda kuoga akala kisha tukagegedana bao moja la fasta fasta na kisha tukaanza mazungumzo. Katika mazungumzo yake aliniambie nimkopeshe laki na nusu (150,000/=) ili ajitibie
Naona unapalia makaaa watakuja tu, ukiona dada mwenye tusweta tumeandikwa TANZANIA ndio huyo
 
hahahah, Mshana Jr bwana!
Mbona wewe enzi zako na Demiss ulipiga kimya.
Waache kama walivyo, watayamaliza kama walivyoanza.
Halafu watu ambao wameshaoneshana nyeti zao sio jambo jema kuwaingilia wakipatana aibu itakuwa kwetu.
Wapotezee kaka yangu.
Karibu niko hapa ubalozi wa SA tumeandamana kudai ndege yetu
sisi tulipendana hadharani kwa post rasmi ya taarifa kisha mkataba wetu ulipofikia tamati tukajadiliana wenyewe kama kuna haja ya kurenyuu.. Tulipoona imetosha tukaweka post nyingine hadharani ya kusitisha mkataba wetu bila kutaja vipengele na mpaka leo tu washkaji hasa
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom