ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,590
Tz hatuna haki za watoto kabisa
wakubwa wanajifikiria wao tu ndio wenye haki, mizazi mingine ni
mishenzi sana haifai hata kidogo
well said dude..
Tz hatuna haki za watoto kabisa
wakubwa wanajifikiria wao tu ndio wenye haki, mizazi mingine ni
mishenzi sana haifai hata kidogo
Kitu cha kwanzaunachotakiwa kukipenda kuliko chochote ni MUNGU! prove me wrong! lakini mpendwa katika mfano wako mzuri ndivyo YESU alivyofanya msalabani, alipigwa, alichubuliwa, alitukana, alitemewa mate, alidharauliwa hadi kuuwawa taja nini tena, kwa ajili yetu sote wanadamu mm na ww Charminglady! nitashangaa kweli kama umetoa mfano huu na hujampokea Yesu kama Bwana na mwokozi wa maisha yako na mbingu pia zitashangaa! maana Yesu alifanya zaidi ya huyo mama maana yeye hata hakufa ila Yesu alikufa kwa ajili yetu ss wote members wa JF na wengine wote.
kila mtu na mawazo yake juu yaliyomkuta kwa mama yake je yule alietupwa na mamaye chooni akaokolewa na wasamalia huyo je atamchukuliaje sasa mama yake..
Mama yangu ni nguzo yangu hapa duniani..I remember alivostruggle kutuweka tulipo.nampenda mnooo
Samahani mkuu... Hapa naongelea humu duniani. Wa kwanza ni Mungu na wa pili ni mama!
Hongera mkuu!