Alikosa raha ulipougua!
alipigana na kutukanwa ulipoonewa, alikaa na njaa ili wewe ushibe na
kufurahi. Aliakikisha halali mpaka ww ulale, na kikubwa zaid mimi na
wewe tusingejuana wala kupendana bila yeye, Je unamjua huyu? Si mwingine
ni MAMA. KUMBUKA PARADISE ZETU ZIKO CHINI YA NYAYO ZA MAMA ZETU.
(MPENDE SAANA MAMA)
AKIWA HAI MLIWAZE NA KAMA AMEFARIKI USIACHE KUMUOMBEA DUA. Kumbusha
wengine umuhimu wa MAMA.