Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

835KJ

Muimbishaji:Braaaaavooooooo coy oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,
Wote:Ayeee
Muimbishaji:Bravooooo
Wote:Ayeeee
Muimbishaji:Braavoo mamaaa
Wote:Ayeee
Muimbishaji: :pPiga kelele na shangwe
Wote:Keleleeee
Muimbishaji: :DDushee
Wote:Kelele za shangwe
 
Op miaka 50 ya jkt.......824kj kanembwa ya demo...........ego coy pale......kulikuwa na private mmoja anaitwa magesa (R.I.P) hatari saaana....mwendo n wa kuchomeka.......uelekeo American village...........muda wa kwata uso kwa uso na dakanyama(R.I.P) hilo kwata la hatariiii.........tano la kutosha kutoka kwa sirmajor kitalekwa (R.I.P) maisha yalikuwa rahaaaa!!!! Hasa kwa sie tuliokuwa ma ST!!!!!
Kurutu sifa kutimia zen nnawamwaga!!!!
Magessa nae alifariki
Namkumbuka siku ya intro tulikuwa nae B coy alituivisha kweli kweli Op 50 Jkt
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Em kama kuna watu humu waliopitia JKT kuanzia op Miaka 50 ya uhuru/ya JKT op sensa na uzalendo.
Naomba mje tupige swaga kidogo kama atakuwepo aliepita 821 itapendeza zaidi.
Mimi ni op Uzalendo.
Karibuni.
Mimi 833kj
 
Mimi nimepita 821 KJ kwenye OP Miaka Hamsini ya JKT.Nilikua kombania F chini ya sargeant major Abednego na O.C wetu alikua Lt Ntwa (RIP) baade Lt. Sheng'oma Wakati huo C.O alikua Major Mrosso ambae alistaafu mwaka uliofuata.

Namkumbuka private mwenye visa na vituko sana anaaitwa John a.k.a Wezele Wezele ,namkumbuka matron Manento ,namkumbuka Lt. Minzi na Mwakibinga na private mnaa wa kwata kikosi kizima anaitwa Tarimo

Moments za bustani,shamba la mahindi na mkesha pale uwanja wa damu.Mbio za cross country na mazoezi ya pori na kupiga risasi bandia kule kwenye vijiji vya raia

Kikubwa kuliko vyote nakumbuka chenja aisee

Namkumbuka afande RSM Mundeba E.B ana mikwara ni hatari
Hapo kwenye chenja sidhani kama kuna mtu atasahau tena ukute chenja kama lile la malela malela malelaaaa (kiitikolio) malelaaaa malela malela waaanguu namtafutaaa ewiiiii awaaaaaaa mwaga nyuki mwaga nyukii utasikia makruta hapo tsiiiiiiiiiiiiiiiik
Hapo najua raia hawajaambulia kitu
 
Unakumbuka mpressure pressure kule bustani.
Aaah kuna jamaa alikuwa hajawahi doji sixweek akawa anamwaga udenda tu tukamhurumia tukampeleka dispensary km anaumwa dokta akampa C3 jamaa alivyoonja radha ya usingiz alikuwa doja hatari
 
Back
Top Bottom