Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,716
- 54,623
🤣🤣🤣Nimependa hapo kwenye space X.....daaah ni full kuburudikaHahahaha, Royal Tour, tunaanzia China Great Wall ,tunamalizia Space X
🤣🤣🤣Nimependa hapo kwenye space X.....daaah ni full kuburudikaHahahaha, Royal Tour, tunaanzia China Great Wall ,tunamalizia Space X
Hahahaha, ndio maaana ya hela🤣🤣🤣Nimependa hapo kwenye space X.....daaah ni full kuburudika
🤔🤔🤔🤔🤔Kama wanawake wasingekuwepo, hata wanaume wasingekuwepo, hivyo pesa nazo zisingekuwepo.
Mtu and masters asimjue plato jamani?acha basiNajua kina Aristotle, Plato huwafahamu wewe
Eeh mshangazi una masters😲😲😲😲Mtu and masters asimjue plato jamani?acha basi
Hapana hukumbuki tulisoma wote
Aristotle Moja Kati Wana philosophy Bora waliowahi kuwepo Duniani nikifuatia Mimi hapa Labani og, Aristotle aliwahi kusema
"Kama wanawake wasingekuwepo Duniani basi pesa zote zisingekuwa na maana"
Hii Ina maanisha Kwamba hata mudi, bakhresa wasingekuwa na nguvu ya kutafuta pesa
Maoni yangu
Ndiyo nakubaliana naye coz bebez ndiyo wanani motivate kutafuta pesa that's y enzi zile nacheza mpira ....nikisikia Ile sauti ya Joanah akisema " msiniumizie laban wangu. Ghafla Ronaldinho anajivaa mwilini takuwa na maskills hatari sana ambapo sikabiki Hadi naenda kufunga [emoji23][emoji23]
Je unakubaliana au unapingana na Aristotle????.....TOA sababuView attachment 3283859
Utelezi utatoa wapiView attachment 3283949
Picha inajielezea Zaid kiumeni kwanza ila japo sio wote wanazingatia hii code.
Ulikula bagia zangu sana + kukufanyia assignments
Niwajulie wapi jamani, em nijuze kuwahusu.Najua kina Aristotle, Plato huwafahamu wewe