Je unakubaliana na theory ya Aristotle ya wanawake vs pesa

Je unakubaliana na theory ya Aristotle ya wanawake vs pesa

Hoja yako ina mashiko, ila Aristotle hakuwahi andika hivyo, go and search kokote, hakusema hivyo, and sio kwamba eti Aristotle alikuwa na akili sana kwa kila kitu, kuna baadhi ya mambo alikuwa pumbaf, jinga kabisa kama binadamu wengine tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom