Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,927
Pengine ni kuzidi kuwatia stress Ili wakikutana au wakitumwa kwenye mtiti wafanye kweli kwa kumalizia hasira zaoSasa kwanini wanalipwa mshara mdogo kwa kazi ngumu wanayofanya????
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kwa hiyo tutarajie kuwaona siku DJ akipelekwa mahakamani kujibu tuhuma za ugaidi?KM pia hutumika kama escort ya kuwapeleka mahakamani mahabusu wenye kesi kubwa kama za jinai, mfano kesi ya Zombe, huwa kama makomando kwani huwa wachache tuu wakati wa msafara lakini wakiwa tayari kwa lolote.
linda mfungwa nawe unakuwa kama mfungwaHii hoja inafikirisha...ila kulinda 'wafungwa' sio jambo jepesi.
halafu wengi ukichunguza vyeti vyao vya elimu ya sekondari, utakuta ni failures.hawa jamaa nimewahi waona wakifanya zoezi aisee ni noma sana wanahatari sana zaidi ya kifo.
Kwa akili zako unadhani majeshini hakuna wasomi? Hiyo elimu yako ya QT ndiyo unajiona Isaac Newton [emoji23][emoji23][emoji23].halafu wengi ukichunguza vyeti vyao vya elimu ya sekondari, utakuta ni failures.
majeshi yetu yana mfumo wa ajabu sana. vitengo ambavyo vinahitaji maaskari watakaotumika kutesa watanzania wenzao, wanapelekwa "ma-zero brain". moja wapo ni hao KM.
Kwahyo mtu akiferi, elimu ya darasani ni zero brain, unapimaje intelligent ya mtu kwa mitihani?halafu wengi ukichunguza vyeti vyao vya elimu ya sekondari, utakuta ni failures.
majeshi yetu yana mfumo wa ajabu sana. vitengo ambavyo vinahitaji maaskari watakaotumika kutesa watanzania wenzao, wanapelekwa "ma-zero brain". moja wapo ni hao KM.
Achananae huyo, kaandika ujinga sana,Kwa akili zako unadhani majeshini hakuna wasomi? Hiyo elimu yako ya QT ndiyo unajiona Isaac Newton [emoji23][emoji23][emoji23].
Unataka wajazwe hawa University graduates ili uwe na jeshi la commissioned officers wote?
Kuteswa kwa mahabusu na wafungwa hakujaanza Tanzania, Marekani ndiyo inamiliki magereza zenye mateso kuliko nchi yoyote duniani.
Kiufupi duniani ukishaingizwa kwenye hatia ya uhalifu japo yawezakuwa umesingiziwa utateseka. Mahabusu/wafungwa wanateswa si kuwa Askari hawana elimu Bali Ni utaratibu wa kidunia Toka enzi na enzi vinginevyo wahalifu wangetenda vyovyote bila kujutia lolote.
Hapo ni kibati DRC kwenye mapambano dhidi ya M 23
Hawa jamaa wanalinda wale jamaa waliokutwa na hatia za kuvunja Sheria za nchi, kazi hiyo sio rahisi hata kidogo.Naona mnawasifu sana
Ila hawa mgambo wa huku ingumbalakasi hapana aseee
Khaaa
Kama wanalinda nchi...
Tena mtihani usiozidi saa 3...?Kwahyo mtu akiferi, elimu ya darasani ni zero brain, unapimaje intelligent ya mtu kwa mitihani?
Kazi ipo
Apumzike mahala pema afande.Xaph87 Miongoni mwa waasisi wa kikosi maalumu mkuu wa kikosi maalaum Afande ACP Menrad James Tesha amefariki na kuzikwa jana huko Moshi
kazi yao kupiga wasioweza kujitetea tu waje uraiani huku