fundichupi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 382
- 237
Wasichana wengi kuanzia miaka 19-23 sio waaminifu kwa wapenzi wao kwasababu bado huamini kuwa na uwezo wa kupata wapenzi wengine.
Wavulana between 19-23 ni waaminifu sana kwa wapenzi wao kutokana na kuwa hawana fedha na ajira pia ndio maana hutulia na mmoja.
Wasichana between 24-35 ni waaminifu sana na uaminifu hudumu mara dufu kwa wanaume wenye nia ya kutaka kuoa kwani wanajua uzuri wao unapotea kila siku na umri nao unawaacha.
Wavulana between 24-35 sio waaminifu kwa wenzi wao kutokana na kazi zao na fedha hivyo hujiamini wanaweza pata mwanamke yeyote ndio maana huwa waongo na wasaliti.