Je, Unajua?

Je, Unajua?

Kumbe kna msichana na mvulana mwenye miaka mingapi...!!??

Hv unajua kigezo cha kuitwa mwanamke au mwanaume..!? Au ni unapost tuu ili nawe tukufahamu!?

Hivi wewe hujui kigezo cha kuitwa mwanamke au mwanaume? au una-quote tu ili tu nawe uonekane umenijibu?
Wewe Fundichupi huwezi kujua hayo maana chupi za watoto na wazee hazitofautiani.
 
Last edited by a moderator:
Ewaaa... Yaan 25 kuja juu ila asiwe 35 kuja juu. Akiwa 35+jua chances za kuzaa bila complication ni ndogo na anaelekea menopouse hvo mtabd mzae watoto wanapishana miezi au mwaka. Akiwa 25 anakuwa kapevuka na walau tayar kuwa mama na anajitahd kutulia mana anajua akicheza vibaya atazeekea kwao na atakopwa sana au hata kuliwa free papuchi kama wakati yupo 24-

*ni mtizamo wangu tuu

Hapo kwenye mtazamo ndio panaondoa maana nzima ya mada...mimi nilijua ni utafiti uliohusisha hawa wanaoOna kupendwa ni Haki Yao ya msingi hapa duniani
 
Hapo kwenye mtazamo ndio panaondoa maana nzima ya mada...mimi nilijua ni utafiti uliohusisha hawa wanaoOna kupendwa ni Haki Yao ya msingi hapa duniani

Hilo neno mtazamo ni khs adhar za kuoa kiumbe wa kike mwenye 35+..

Mada yahusu inbtw 19-23 and 23-35. Ukiwa above 35 ww ni case iliyoshindikana kwa mana utakuwa na past kubwa na ndoa yako itakuwa ni ya kukutoa aibu kama sio kuchunwa vijisent
 
Back
Top Bottom