JE UNAJUA?

JE UNAJUA?

aah mbona sasa tulikua tunahangaika tuifunge ....

Ooh sory wakuu nimeropoka
Nadhani hiyo ni moja ya mihemuko ya wakubwa...Kikwete kapigwa mabango kibao kipindi hicho akawa kimya,akaondoka zake na hakuna kilichobadilika...zaidi ya kumwagiwa sifa kibao saivi
 
Hebu mkuu ungetusaidia kuyaweka(japo kwa ufupi) na sisi tuyafahamu
Kiukweli kama haujui ni inamaanisha wewe ni mgeni. Hivyo nakuacha uzoee nyuzi mbalimbali ili uwe unarelate hapo baadaye.
 
Sawa tuendelee kufarijiana humu ndani tu
Jikite kwenye viewers, muulize melo akupe takwimu. Nahisi ni zaidi ya 2M. Nilijiunga jf 2012, ikiwa na member 60k. Leo hii ni more than 470k trend ya members siyo mbaya.
 
Kiukweli kama haujui ni inamaanisha wewe ni mgeni. Hivyo nakuacha uzoee nyuzi mbalimbali ili uwe unarelate hapo baadaye.
Duh kweli ni vingi mno hadi umeshindwa kudokezea tu...Ngoja niendelee kuzoea mkuu
 
Kuna mwaka kuna uzi wa kuonyesha ukwepaji kodi wa kampuni moja hivi uliwekwa humu.

Serikali ikataka imjue muanzisha uzi.

Wakapeleka watu mahakamani.

Raids zikafanywa.

Ikatamaniwa mitandao izimwe.

JF ikapotea.

Sera na sheria mpya zikatungwa.

JF ikapotea tena.

Mahakamani watu wakaenda tena.

Naona serikali inatumia rasilimali nyingi kwa lengo dogo la kunyamazisha 0.5%.
 
Jikite kwenye viewers, muulize melo akupe takwimu. Nahisi ni zaidi ya 2M. Nilijiunga jf 2012, ikiwa na member 60k. Leo hii ni more than 470k trend ya members siyo mbaya.
68k/yr basi sio mbaya tutaifikia jamii yote muda sio mrefu
 
Kuna mwaka kuna uzi wa kuonyesha ukwepaji kodi wa kampuni moja hivi uliwekwa humu.

Serikali ikataka imjue muanzisha uzi.

Wakapeleka watu mahakamani.

Raids zikafanywa.

Ikatamaniwa mitandao izimwe.

JF ikapotea.

Sera na sheria mpya zikatungwa.

JF ikapotea tena.

Mahakamani watu wakaenda tena.

Naona serikali inatumia rasilimali nyingi kwa lengo dogo la kunyamazisha 0.5%.
Nzuri sana hii...lakini kwa yale maamuzi ambayo yanahitaji kujumuisha jamii yote nadhani nguvu ya huku ni neglible
 
Nzuri sana hii...lakini kwa yale maamuzi ambayo yanahitaji kujumuisha jamii yote nadhani nguvu ya huku ni neglible
Sijajua.

Ila unaweza ukaishauri serikali kua 0.5% ya watu siyo idadi kubwa.
 
Sijajua.

Ila unaweza ukaishauri serikali kua 0.5% ya watu siyo idadi kubwa.
Kwa serikali hii ambayo ina mihemuko mingi sio ajabu...mana wao wanaweza kucha kutwa kukimbizana hata na mtu mmoja
 
Habari za muda huu ndugu wanaJF,ninatumaini wote ni wazima afya

Ningependa kuwapa takwimu muhimu sana siku ya leo inayohusu members wa JF

Tanzania ina jumla ya watu wazima wasiopungua mil27 na JF ina members 472,580....Hii inamaanisha JF kwa makadirio inawakilisha 0.5% ya watu wazima nchini Tanzania

Hivyo ni vigumu sana kuamini kwamba JF inafaa kuwa chombo cha kutumia katika kuakisi uhalisia uliopo katika jamii yetu ya Tanzania...comments unazoziona hapa hazina nguvu yoyote katika kupindua uhalisia wowote ule katika Tanzania

Hitimisho:Tuache kujifariji kwa michango ya 0.5%(ambayo kwenye hiyo 0.5% yenyewe kuna mgawanyiko),kama tunahitaji mabadiliko ya kweli tuingie mtaani tushawishi jamii yetu kwanza
Unajua idadi ya wanosoma habari tu bila kujiunga kaangalie wanao tembelea jf kwa siku.

Ukimaliza nenda Twitter ukajiridhishe pia.
 
Unajua idadi ya wanosoma habari tu bila kujiunga kaangalie wanao tembelea jf kwa siku.

Ukimaliza nenda Twitter ukajiridhishe pia.
sijajua visitors/day,ila twitter naona ni 566k....hata kama iweje ila haiwezi kuzidi 0.7%
 
Kama ndio hivyo kwa hesabu zako,hujui nguv ya media coverage ya watu laki nne ina multiplier effects kubwa sana! Mwaka 1994,rwanda kulikua na fm radio moja ikitangaza chuki dhidi ya watusi kwa mikoa mainly miwili, kigali &gitalama kilichotokea unakijua,mauaji ya kimbari!
 
Umesema ukweli mtupu...ila shinda ni kwamba accesibility kwa wananchi kwa media kama JF na Radio ni tofauti kabisa,JF unahitaji smartphone,unahitaji MB,vp Radio?
 
Back
Top Bottom