Je unajua AKILI ndiyo kiunganishi kikubwa kati ya kile
Tunachoamini (imani/Roho)
Kile tunachofikiria ( akili)
Na kile tunachofanya ( mwili)
Namna unavyofikiria huathiri maamuzi na maamuzi huunda maisha
Tambuwa akili ni kama radio inaweza kupokea mawazo mazuri na mabaya
ILa tambua mazingira ndiyo uamua akili yako ifikirie nini
Sasa wewe jifanye mista love
Uone kama hautakuwa na mawazo mengine zaidi ya ngono tu