Je, mambo haya yana ukweli kiasi gani?

Je, mambo haya yana ukweli kiasi gani?

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2,841
Reaction score
8,593
Je, Wajua?

Kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili, mwanamke asiyejiheshimu na asiyetulia huitwa KISABALUU!

Chukua hiyo kama ulikuwa haujui

Nimekuwa nikifanya tafiti za aina 3 Kwa muda mrefu na bado naendelea kuchunguza zinaukweli kiasi gani! Kwasababu mambo haya nimekutana nayo huko kwenye jamii na wanaamini hivyo!


UTAFITI 1
Imekuwa ikisemekana ya kwamba, jinsia ya mtoto wako wa kwanza ina rejelea jinsia ya ya mtoto wa kwanza kwao Baba yako.

Mfano; Kama kwao Baba yako,mtoto wa kwanza niwa jinsia ya Kiume, tegemea na wewe uzao wako wa kwanza itakuwa mtoto wa kiume!,na kama kwao Baba yako uzao wao wa kwanza ulikuwa mtoto wa kike, tegemea na wewe Uzao wako wa Kwanza itakuwa mtoto wa kike!

Je, hili kwako limefanya kazi?

UTAFITI 2
Inasemekana ya kwamba, mwanaume yeyote aliyempata mtoto wa kiume kama mwanaye wa kwanza, basi mwanaume huyo alikuwa akimpenda sana mkewe na wakati wa tendo alikuwa akimshughulikia Kwa uchu mkubwa! Mkeo akijifungua tena mtoto akawa wa kiume Hali huwa ni hiyo hiyo, yaani unampenda mkeo na wakati wa tendo unaikung'uta sana papuchi huku ukimtamani sana wakati wa tendo!

Ikitokea mkeo akapata mtoto wa tatu ambaye akawa Binti (mtoto wa kike) tambua kwamba Mapenzi na mkeo yamepungua, yaani huna hamu nae, yaani umemkinai,unaweza kushiriki tendo nae mara moja Kwa mwezi au mara mbili tena baada ya yeye kukulazimisha kweli! Hapo ndipo upatikana mtoto wa kike!

Je, hili kwako lina ukweli kiasi gani?

UTAFITI 3
Inasemekana ya kwamba, wanawake wengi weupe na wafupi wa wastani wamezaliwa kati ya mwaka 1982 hadi 1983

Wanawake wengi waliozaliwa miaka hiyo walikuwa weupe na wafupi wa wastani,pia Inasemekana miaka hiyo miwili (1982 na 1983) ndiyo miaka ambayo walizaliwa wanawake wengi kuliko wanaume!

Je, hili kwkwako hali ikoje?
 
Back
Top Bottom