Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,690
- 3,157
- Thread starter
-
- #41
Tatizo umelishwa imani ya kidini na ukaamini israel eneo lake la asili ni Mashariki ya Kati. Bila kusoma historia. JIBU maswali hayaKwanza sijui kama Israel wangekubali kukaa huku Afrika mashariki wakati sehemu ambayo wanahistoria nayo wanaijua ilipo
Na wangekaa huku nadhani wangetulia maana nikama wamepewa ufadhili sehemu ambayo hawana kumbukumbu nayo yoyote.
Wanagombana na wapalestina sio tu kwasababu ya ardhi Bali wanamaeneo yao muhimu ya kiimani wanayahitaji kutokana na historia yao, Sasa hapa Afrika mashariki historia yao inawaonesha Nini nadhani wangekuwa kama Liberia ama siera Leon kama kipigana wangepigana wenyewe Kwa wenyewe
Hakuna aliyejibu hata moja zaid ya kuleta porojo za Kidini. Welete maswali nasubiri majibu sitaki ushabikiMtoa mada anawasubiri watakaomjibu kwa hamu,na wamemjibu lakini ameukimbia uzi wake.
Sasa sijui anamuuliza bwana gugo huko alipo,au wapalestina wa Tandale ili wampe nondo za kuendelea kushabikia ujinga
JIBU MASWALI SITAKI CHUKI ZA kIDINIWAISLAMU NA WAARABU WANA CHUKI NA WIVU NA HUSDA KWA WAYAHUDI.
HAYO NDIO MAAGIZO YA MUNGU WAO WA KIARABU ALLAH.
ANAYEWACHUKIA WAYAHUDI NA MUNGU WAO YEHOVA
Kama palestina ilikua nchiJIBU MASWALI SITAKI CHUKI ZA kIDINI
Walikataa katakata na wala wasingekubali kwakuwa walitaka kwenda kuishi kwenye asili yaoHili lilikuwa pendekezo la Uingereza wakati wa ukoloni.
Image endapo ISRAEL angepata hiyo ardhi Apo uganda ingekuwaje mpaka sasa. KWA hali tunayoiyona KWA Ndugu zetu PALESTINE kupokonywa ardhi na kukaliwa kimabavu. JE tungepokonywa sisi na hawa madhalim na kisha kuuwawa kikatili kama wanavyouwawa wa PALESTINE je kuna mtu angeendelea kulishobokea hili taifa linaloitwa ISRAEL
Mbona unaongea sana Ndugu aliyekuambia waarabu wanatuona sisi nyani ni nani. Unafikiri Uislam ni ubaguzi kama nyinyi mnavyobaguana huko makanisani. Nenda kaswali misikitini ya upanga, kariakoo na mnazi mmoja uone jinsi tunavyoishi na waarabu kama Ndugu. Kama nyinyi wazungu wanavyowaona manyani huko makanisani.. usichukulie na Uislam ni hivo hivo tembea ujione na sio kuleta chuki za kidiniKwa hiyo ni mpalestina? Mbona nyie black mamba hua mnajifanya waarabu wakati waarabu wenyewe wanawaita nyie ni manyani na watumwa wao anaeipenda israel acha aipende na ww wapende hao waarabu wenzako halaf suala na kuonewa kwanini hao waarabu wasiungane waipoteze israel yaani watu bilioni moja mnateseka kwa ajili ya watu ambao hawafiki hta milioni kumi huoni nyie ni wajinga na wapumbavu
Jibu hili swali mbona unalikimbiaMbona unaongea sana Ndugu aliyekuambia waarabu wanatuona sisi nyani ni nani. Unafikiri Uislam ni ubaguzi kama nyinyi mnavyobaguana huko makanisani. Nenda kaswali misikitini ya upanga, kariakoo na mnazi mmoja uone jinsi tunavyoishi na waarabu kama Ndugu. Kama nyinyi wazungu wanavyowaona manyani huko makanisani.. usichukulie na Uislam ni hivo hivo tembea ujione na sio kuleta chuki za kidini
PALESTINE MIAKA 30s na 40s KABLA YA UVAMIZI WA FAKES JEWSKama palestina ilikua nchi
Ntajie marais watano tu au wafalme wa palestina kabla ya mwaka 1948
Mmekua mkilalamika palestina imechukuliwa ardhi yake naomba nijibu hilo swali kama ni nchi ntajie wafalme watano wa palestina kabla ya 1948
Sihitaji picha ntajie marais au wafalme kabla ya 1948PALESTINE MIAKA 30s na 40s KABLA YA UVAMIZI WA FAKES JEWSView attachment 2815193View attachment 2815194View attachment 2815195View attachment 2815198View attachment 2815200View attachment 2815196View attachment 2815197View attachment 2815199View attachment 2815201
Rais/mfalme wa kipindi hiki wa palestina alikua anaitwa naniPalestine MIAKA 30sView attachment 2815202
Kwanini Wanaharakati wote walioleta Uhuru barani Afrika WALIKATAA kuitambua Israel hata Mwl. Nyerere?We ni muongo sana israel inapata uhuru mwaka 1948 idd amin au gadaffi hakuna aliyekua rais uganda na libaya yalikua ni makoloni sasa unasemaje walipinga israel isiwe nchi kama sio uongo wa waziwazi
Iddi anapata urais 1971 tayari isreali ilishapata uhuru kitambo sana, harakai za wayahudi ziliaanza miaka ya 1990's mwanzon ambapo gadafi na id amini hawakua wamezaliwa
So that means pale pale panapogombewq sio kwa wayahudi Wala wapelestina?unaijua hii Tofauti Kati ya WAISRAEL ( watu weusi) na WAYAUDI ( Zionists yaani wazungu na walowezi
kutoka ulaya)???
Na hii pia unajua Historia ya Zionism movement na tabia zake???
JIBU swali usilete porojo
Kwani Wapelestina Ardhi yao wameuza kama sisi tulivyouza Ngorongoro na kufukuza wamasai.
Historia ina sema palestine kapokonywa ardhi kimabavu na kisha kuuwawa kikatili na hao wazayuni fakes na ulikuwa ni mpango wa wazungu kutawala Mashariki ya Kati. Unaposema tuuache kutetea Ndugu zetu Wapelestina maana yake unafurahia dhulma, mauwaji ya kikatili ya watoto uko palestine, unafurahia nyumba za watu kubomolewa, watu kuuwa na wengine kupewa kilema cha Maisha??? Unafurahia hayo??? Dunia nzima imesisima na palestine kupinga uvamizi mimi ni nani nisisimae na palestine.
Hapa Tanzania matatizo tunajitakia wenyewe
Ntajie wafalme wa palestina si ilikua nchiKwanini Wanaharakati wote walioleta Uhuru barani Afrika WALIKATAA kuitambua Israel hata Mwl. Nyerere?
Sipati picha Ingelikua ndio makazi yao east afrika
Si kweli, Tanzania haijawahi kuwa miongoni.Proposals for a Jewish state ( Maeneo yaliyokoswa koswa kuwa israel na TANZANIA ilikuwa miongoni)
Ndio maana mnaambia msome historia. Ona sasa hata ujui Mashariki ya Kati lilikuwa linamilikiwa na nani Apo kabla ya huu mgogoro mnao ushabikiaSo that means pale pale panapogombewq sio kwa wayahudi Wala wapelestina?
Picha uletewe pia mfalme ama raisi utajiwe. Hivi KWA akili yako unavyoona hayo majengo, airport, madarasa, misikitini, yalijengwa bila kuwepo Kiongozi wa eneo hilo. Changamsha ubongo wako sio kila kitu utafutiweRais/mfalme wa kipindi hiki wa palestina alikua anaitwa nani