Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,534
siwezi kuwa na ushauri direct maana sio fani yangu. ila kama ww umeona kwenye law kuna fursa basi unaweza soma. ila nakushauri kama utaanza kusoma PGD basi tafuta module za degree ujisomee binafsi ili ujiweke vizuri