Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,433
MV DAR ES SALAAM
Rais John Pombe Magufuli akiizindua meli ya MV DAR ES SALAAM.
Rais John Pombe Magufuli akiizindua meli ya MV DAR ES SALAAM.
Meli ya MV DAR ES SALAAM ilitengenezwa kwa nia ya kurahisisha usafiri kwa wakazi waishio kwenye fukwe za Bagamoyo na Dar es Salaam.
Kampuni ya kutengeneza meli iitwayo Western Marine Shipyard (Hull WMShL-124) ilipokea oda kutoka kwa JGH Marine A/S, Denmark, kwamba iunde meli ya abiria ambayo iko kwa muundo wa aluminum body catamaran Mali ya Tanzania Electrical, Mechanical, and Electronics Services Agency (TEMSA).
Uundwaji huu wa meli ulikamilika na kukabidhiwa mwaka 2014 kwa wizara ya ujenzi
Vessel Type: Aluminum Body Catamaran Type Passenger Ship
Length OA: 37.54m
Breadth Molded: 11.5m
Depth Molded: 3.8m
Net Tonnage: 363.19 tons
Engine and Propulsion: 2x Yanmar 12AY-WET IMO Tier 2 1140kW at 1840RPM with 2x fixed-pitch propellers
Waterline Length: 31.84m
Draft: 1.7m
Gross tonnage: 471.98 tons
Complement: 300 person
