Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,181
- 166,175
- Thread starter
- #21
Kwenye documents ni mali ya Wizara ya Ujenzi.Mkuu unawezaje kuongelea vitu vya JWTZ?
Jeshi linafanya nini na passengers ship?
Kwenye documents ni mali ya Wizara ya Ujenzi.Mkuu unawezaje kuongelea vitu vya JWTZ?
Maendereo hayana chama.
Mnataka niwapanulie wapi?
Jeshi linafanya nini na meli ya abiria? Inaoza tu na kuharibika zaidiNdiyo, mzalendo namba moja.
Bila yeye Jeshi lingepata wapi meli kubwa namna ile?
Jeshi linafanya nini na meli ya abiria? Inaoza tu na kuharibika zaidi
iko wapi sasa mbona haionekani na nani aliieleta tum'bane atueleze alikoipeleka.. au ndo tumiingizwa CHAKABOVUMV DAR ES SALAAM
View attachment 1643635
Rais John Pombe Magufuli akiizindua meli ya MV DAR ES SALAAM.
Meli ya MV DAR ES SALAAM ilitengenezwa kwa nia ya kurahisisha usafiri kwa wakazi waishio kwenye fukwe za Bagamoyo na Dar es Salaam.
View attachment 1643636
Kampuni ya kutengeneza meli iitwayo Western Marine Shipyard (Hull WMShL-124) ilipokea oda kutoka kwa JGH Marine A/S, Denmark, kwamba iunde meli ya abiria ambayo iko kwa muundo wa aluminum body catamaran Mali ya Tanzania Electrical, Mechanical, and Electronics Services Agency (TEMSA).
Uundwaji huu wa meli ulikamilika na kukabidhiwa mwaka 2014 kwa wizara ya ujenzi
Vessel Type: Aluminum Body Catamaran Type Passenger Ship
Length OA: 37.54m
Breadth Molded: 11.5m
Depth Molded: 3.8m
Net Tonnage: 363.19 tons
Engine and Propulsion: 2x Yanmar 12AY-WET IMO Tier 2 1140kW at 1840RPM with 2x fixed-pitch propellers
Waterline Length: 31.84m
Draft: 1.7m
Gross tonnage: 471.98 tons
Complement: 300 person
View attachment 1643638
View attachment 1643639
View attachment 1643640
View attachment 1643641
View attachment 1643642
washasahau lile swala la kifaru bagamoyo...sasa ngoja mhadhini mkuu wa jeshi aione hii post...wabongo tunaishi sana kwa mazoeaMkuu unawezaje kuongelea vitu vya JWTZ?
Wanabebea kokoto toka Bagamoyo kupeleka Kilindoni Mafia kwa ajili ya ujenzi wa ghatiKwenye documents ni mali ya Wizara ya Ujenzi.
Jeshi linafanya nini na passengers ship?
washasahau lile swala la kifaru bagamoyo...sasa ngoja mhadhini mkuu wa jeshi aione hii post...wabongo tunaishi sana kwa mazoea
Wanabebea kokoto toka Bagamoyo kupeleka Kilindoni Mafia kwa ajili ya ujenzi wa ghati
Akapimwe wazungu
Ililetwa na mkuu Wa Nchi mzee magu, alivyoona ni kshfa kwake ili isiendelee kujadiliwa akaamuwa kuwapa wanajeshiiko wapi sasa mbona haionekani na nani aliieleta tum'bane atueleze alikoipeleka.. au ndo tumiingizwa CHAKABOVU
nashukuru mkuuBila shaka ulikusudia kusema Mnadhimu, na si huyo uliyemtaja
Iliwekwa spidi ndogo ili watu waweze kumaliza chupa zao za bia na makongolo, kipimo kilikuwa chupa nane kwa abiria.Bilioni 9.
Bagamoyo-dar masaa 12 kwenda kurudi masaa 12.[emoji16][emoji16][emoji16].
tuanzie hapa kuiadili tena maana hii nayo uhujumu uchumi pia wahusika washughulikiweIliletwa na mkuu Wa Nchi mzee magu, alivyoona ni kshfa kwake ili isiendelee kujadiliwa akaamuwa kuwapa wanajeshi
Sasa hivi hutakiwi kuijadili hii meli