Je, unaifahamu meli ya MV Dar es Salaam?

Je, unaifahamu meli ya MV Dar es Salaam?

Tukisema Meko fisadi uwe unaelewa.
CCM Chama Cha Mafisadi
 
Ndiyo, mzalendo namba moja.

Bila yeye Jeshi lingepata wapi meli kubwa namna ile?
Jeshi wana matumizi gani na meli hiyo? Huo ni ubadhirifu wa mali ya umma, haikununuliwa kwa shughuli za kijeshi.
 
Back
Top Bottom